Kigwangala awatolea uvivu walalamikia tozo wanaoonea wivu Mawaziri

Kigwangala awatolea uvivu walalamikia tozo wanaoonea wivu Mawaziri

Attachments

  • Screenshot_20220819-165449.png
    Screenshot_20220819-165449.png
    90.1 KB · Views: 4
wasipochunga maneno hayo watafanywa nini? inategemea mtu yuko nchi gani ,kwa Tanzania kweli uhofie?
ikifika uchaguzi anko mahela anakubeba, mkurugenzi analipwa na Rais atangaze mpinzani kashinda????
watu wana uhakika kabisa kupita bila kupingwa maana wapinzani hawajui kujaza forms.
Na hiki ndio kinawapa kiburi, wanajua sio kura za Wananchi zinawaweka walipo. Wanajua Wananchi walishawakataa kitambo.
 
Huyu Kigwangala zama zake zimepita. Anajaribu kufurukuta, Tumsamehe
 
Back
Top Bottom