njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Atafiiti sana na kina Nape kwenye kupambana mtandaoni na vibaraka wa mabeberuAkamalizie tu kutoa mtoto wake kafara arudishwe kwenye cabinet. Ni mmoja wa wapuuzi wengi huko CCM
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mwendawazimu wee!Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
Kingwangala hajawahi kuwa na akili, ameulizwa swali kwa busara tena swali lenye hoja ila anajibu as if ni mtoto wa form 2,Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
View attachment 2328602View attachment 2328603
Hizo mbili zinatosha kabisa kuelezea ni kiasi gani ana kiburi na anakejeli watu wanaoteseka ili yeye apate mshahara kwa kuuza maneno na kugonga meza.Leta comments zote usichambue hizo mbili !
🤣🤣🤣🤣😂Akamalizie tu kutoa mtoto wake kafara arudishwe kwenye cabinet
Nileteeni Kigwangala...nileteeni Kigwangala...Nileteeeni KigwangalaaaaIla huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
View attachment 2328602View attachment 2328603
leo mchana niliitwa mwigulu sasa hivi kigwa, mnanichanganya mjueNaona wewe ndo Kigwangala, Umekimbia Spana za Twitter umekuja kutafuta huruma huku, bado tunaendeleza Spana tu
wasipochunga maneno hayo watafanywa nini? inategemea mtu yuko nchi gani ,kwa Tanzania kweli uhofie?Hizo mbili zinatosha kabisa kuelezea ni kiasi gani ana kiburi na anakejeli watu wanaoteseka ili yeye apate mshahara kwa kuuza maneno na kugonga meza.
Viongozi wanapaswa kuchagua maneno na muda wa kuongea. Sijui ni kwanini hawajifunzi kwa kijana mwenzao January.
teuzi zinatafutwa kwa njia nyingi.Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
View attachment 2328602View attachment 2328603
Hao ndiyo waisiharamu vipenzi wa team msoga na team sa100Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
View attachment 2328602View attachment 2328603
Kweli wewe ni JUHAIla huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
View attachment 2328602View attachment 2328603