Kigwangala awatolea uvivu walalamikia tozo wanaoonea wivu Mawaziri

Attachments

  • Screenshot_20220819-165449.png
    90.1 KB · Views: 4
I hope umeandika kinyume ama?
kivipi tena dada yangu huoni wananchi walivyo na furaha kuicchangia serikali yao kupitia tozo? na ni muhimu mawaziri wapewe new models za V8 hawawezi panda ist za walevi kama asemavyo kigwangwala
 
Na hiki ndio kinawapa kiburi, wanajua sio kura za Wananchi zinawaweka walipo. Wanajua Wananchi walishawakataa kitambo.
 
Huyu Kigwangala zama zake zimepita. Anajaribu kufurukuta, Tumsamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…