Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
"Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili kuyarekebisha, kwa nia njema kabisa; lakini wale wale waliokuwa wanadai walikimbia!"- Kigwangala
Naomba wanaccm mtusaidie kujibu hili swali, Ni yupi kati ya hawa wawili aliyekimbia mchakato wa katiba mpya;"Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili kuyarekebisha, kwa nia njema kabisa; lakini wale wale waliokuwa wanadai walikimbia!"- Kigwangala
Kwa hiyo, wewe haujui?Wanaodai katiba mpya sasa wamewahi kujiuliza nini kilisababisha mchakato wa mwanzo kukwama?
Jinga hili"Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili kuyarekebisha, kwa nia njema kabisa; lakini wale wale waliokuwa wanadai walikimbia!"- Kigwangala
Kilichokwamisha mchakato wa awali leo,kipo au hakipo?Kwa hiyo, wewe haujui?
Point muhimu Sana ,hii kudai katiba mpya muhimu tukaanzia pale tulipoishia na kujua sababu ya kusitisha katiba kwa kipindi kile ,na sababu ya kuipiga chini katiba ya warioba na kuleta ya ambayo haina maanaWanaodai katiba mpya sasa wamewahi kujiuliza nini kilisababisha mchakato wa mwanzo kukwama?