kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
jamaa anamiliki chuo kipiNimeona baadhi ya wachambuzi maandazi wamepata jambo la kuongelea wiki hii nzima baada ya kigwangala kuhoji uteuzi wa CEO mpya wa Simba.
Kifupi tu namuomba aache kuleta uswahili na choko choko kwa club ya Simba.Kwani naamini ukitoa dili zilizomtoa kisiasa,hana uwezo wa kujua masuala ya uendeshaji timu, uongozi na usimamizi wa miradi mikubwa.
Kama tu ameshindwa tu kuimarisha chuo chake mradi ambao ni uwekezaji wenye faida kubwa na wenye uwezo wa kuajiri watu wengi, atakuwa na mawazo gani ya kuishauri Simba kama sio tu kuanzisha choko choko?
Nyani ni Nyani tu.Haoni kundule. Utopolo kweli una moral athourity ya kuzungumzia Simba wakati mmepakatwa na mwarabu koko wa GSM na msomali pori.Simba haina uongozi baada ya "NKWABI" mwenyekiti aliyeteuliwa na wanachama kusukumwa nje alipohoji maslahi halali ya Simba! Sasa kuna njaa kali Kaduguda hasemi chochote zaidi ya "ndiyo" boss Mo!
Na hapo ni room kwa Mudi wanakula mashishaView attachment 1559832
Dah....Mo amewadharu sana!🤣🤣
Ila apart from propaganda kuna swali la msingi ameuliza, hii pisi ya Mudi ambaye ni mtumishi binafsi wa Mudi hamuoni ataleta conflicts of interest kuwa CEO wa kampuni ambayo Mudi ana hisa na ni muekezaji???Simba itapigwa vita na kila mtu,na wakikubali na hizi propaganda hakika itasambaratika,huwez judge uwezo wa mtu kufanya kazi kabla hujaona uwezo wake!
Kigwa anahoja ya msingi kabisaMimi kama shabiki wa simba naunga mkono hoja za Hamisi.tutakuja kulaumiana mbele ya safari
Simba haina uongozi baada ya "NKWABI" mwenyekiti aliyeteuliwa na wanachama kusukumwa nje alipohoji maslahi halali ya Simba! Sasa kuna njaa kali Kaduguda hasemi chochote zaidi ya "ndiyo" boss Mo!
Mimi kama shabiki wa simba naunga mkono hoja za Hamisi.tutakuja kulaumiana mbele ya safari
Hatimae boss wetu nae amlipua kigwangala.
Kigwa anahoja ya msingi kabisa
Sema wabongo wengi hata hatuelewi