Kigwangala usilete mgogoro Simba, lazima tuwaamini uongozi uliopo

Kigwangala usilete mgogoro Simba, lazima tuwaamini uongozi uliopo

Simba haina uongozi baada ya "NKWABI" mwenyekiti aliyeteuliwa na wanachama kusukumwa nje alipohoji maslahi halali ya Simba! Sasa kuna njaa kali Kaduguda hasemi chochote zaidi ya "ndiyo" boss Mo!
Kumbuka Kaduguda ndiyo anayeshikilia record ya kuongoza Simba iliyotwaa ubingwa bila kupoteza hata mechi moja.
 
Hatimae boss wetu nae amlipua kigwangala.
𝚈𝚊𝚊𝚗𝚒 𝚗𝚒 𝚋𝚘𝚗𝚐𝚎 𝚕𝚊 knockout aisee, nilishangaa ana twit kila dk kumbe kuna makasiriko ndani yake
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Jamaa aliomba mkopo wa pikipiki ikashindikana. Ikabidi atafute ujiko kwa njia nyingine. CEO ni mtendaji mkuu na alikuwa kwenye Bodi kwa miaka 3 tokea Simba ibadilishe mfumo.Ana uzoefu wa kutosha wa uongozi.
Issue sio uzoefu wake, issue ni conflicts of interest.
Hii ni pisi ya Mudi, ni mfanyakazi binafsi wa mudi leo anakua CEO kwenye taasisi ambayo Mudi ni muwekezaji mwenye hisa hamuoni kuwa atakua anafavor maslahi ya Mudi zaidi kuliko maslahi ya taasisi??
 
Sometimes nadhani Hawa wakezaji wanna mambo yao tu na sio kukuza mpira kama tunavyodhani...

Hapa alipofika ni mbali Sana ...bwana mudi.. in short simba ishakuwa kakitu kake ka kupotezea muda na kumkeep busy.. Sasa akipewa hadidu nzito nzito anaona sio starehe tena Ni karaha .. kwa namna hii anakuwa na control ya hadidu..

[emoji16][emoji16][emoji16]Halafu mudi asivyokuwa muongo mzuri.. hata kabla hajaulizwa kashakana ..hajamchagua yeye..Ni Kikao kizuri ndio kimefanya yake[emoji16][emoji16]

Na taarifa hajatoa afisa habari katoa yeye.. [emoji16][emoji16][emoji16] mudi anatuona mandezi Sana.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nasema Kigwangala ni mswahili na anapenda uswahili,ila linapokuja suala la mpira hana mchango wowote.
Na hata leo Mo akiicha Simba,hutamsikia na atajiweka pembeni kabisa
 
Nyani ni Nyani tu.Haoni kundule. Utopolo kweli una moral athourity ya kuzungumzia Simba wakati mmepakatwa na mwarabu koko wa GSM na msomali pori.
Wanasajili wao tena kwenye sitting room zao huku mkiwa na klabu bila nembo wala ushuzi.
Unafikiri Shija alijiuzulu kwanini?
Sasa hivi GSM wamesema wamesajili ila nyie Utopolo mlipe mishahara. Wakijua hamna uwezo huo ili mzidi kuwaachia klabu.Hiyo ni blackmail.Mmekazia shingo Simba huku nyumba ya mabua inauungua.
Sasa Yanga wamehusikaje na hilo mkuu maana aliyeleta hoja ni shabiki wa simba kabisa. Au una shida na Yanga
 
simba washapewa limbwata na mudi sasa hivi wote walishakua kama ndama kazi yao nikulia tu, mooooo, eti kisa kuchukua ubingwa wa ligi mara tatu mfululizo, ndio kila mtu atakaeoji unjajanja wa mudi anaoneka ni adui, na Mudi anatumia udhaifu wa mashabiki wa mikia wengi wao shule hamna kwahiyo anawapeleka anavyotaka, hatuoni akihitengeneza timu katika misingi ya kujitengemea matokeo yake anataka timu iwe inamtegemea tu yeye na hapo ndio anawapeleka anavyotaka yeye
 
Hali kama hii ya watu wanaojiona wajuaji,walisababisha Stand United idhoofu na waliingiza nguvu zao za kisiasa baada ya kuona timu imepata udhamini mnono kutoka barrick gold.

Hawa hawa wachambuzi wakajiingiza na kuleta uchochezi huku wakifurahia malumbamo yaliyokuwepo.Sasa hivi huwasikii tena baada ya wafadhili kujitoa na timu kushuka daraja.

Kifupi watanzania wana asili ya uswahili na ubishi usio na tija na matokeo yake wakishafanikiwa kuharibu huwaoni tena.
 
Sometimes nadhani Hawa wakezaji wanna mambo yao tu na sio kukuza mpira kama tunavyodhani...

Hapa alipofika ni mbali Sana ...bwana mudi.. in short simba ishakuwa kakitu kake ka kupotezea muda na kumkeep busy.. Sasa akipewa hadidu nzito nzito anaona sio starehe tena Ni karaha .. kwa namna hii anakuwa na control ya hadidu..

[emoji16][emoji16][emoji16]Halafu mudi asivyokuwa muongo mzuri.. hata kabla hajaulizwa kashakana ..hajamchagua yeye..Ni Kikao kizuri ndio kimefanya yake[emoji16][emoji16]

Na taarifa hajatoa afisa habari katoa yeye.. [emoji16][emoji16][emoji16] mudi anatuona mandezi Sana.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
𝚈𝚊𝚊𝚗 𝚊𝚏𝚒𝚜𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒 𝚊𝚖𝚝𝚊𝚖𝚋𝚞𝚕𝚒𝚜𝚑𝚎 𝚋𝚘𝚜𝚜 𝚠𝚊𝚔𝚎? 𝚔𝚞𝚠𝚊 serious na vitu vya msing
 
Hali kama hii ya watu wanaojiona wajuaji,walisababisha Stand United idhoofu na waliingiza nguvu zao za kisiasa baada ya kuona timu imepata udhamini mnono kutoka barrick gold.

Hawa hawa wachambuzi wakajiingiza na kuleta uchochezi huku wakifurahia malumbamo yaliyokuwepo.Sasa hivi huwasikii tena baada ya wafadhili kujitoa na timu kushuka daraja.

Kifupi watanzania wana asili ya uswahili na ubishi usio na tija na matokeo yake wakishafanikiwa kuharibu huwaoni tena.
Chief.. Watanzania ndio waswahili wenyewe [emoji16][emoji16]

Ila na Mudi Kuna namna[emoji16][emoji16][emoji120]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona baadhi ya wachambuzi maandazi wamepata jambo la kuongelea wiki hii nzima baada ya kigwangala kuhoji uteuzi wa CEO mpya wa Simba.

Kifupi tu namuomba aache kuleta uswahili na choko choko kwa club ya Simba.Kwani naamini ukitoa dili zilizomtoa kisiasa,hana uwezo wa kujua masuala ya uendeshaji timu, uongozi na usimamizi wa miradi mikubwa.

Kama tu ameshindwa tu kuimarisha chuo chake mradi ambao ni uwekezaji wenye faida kubwa na wenye uwezo wa kuajiri watu wengi, atakuwa na mawazo gani ya kuishauri Simba kama sio tu kuanzisha choko choko?
Chokochoko ipi mkuu..?

Mbna anaongea vitu vya msingi katika klabu
 
Back
Top Bottom