Muda ni mwalimu mzuriKabla ya mo kuchukua team mliwahi kulaumiana?
Haya Mo akiacha timu mnawatu hata wa kujua pa kuanzia?
Kumbuka Kaduguda ndiyo anayeshikilia record ya kuongoza Simba iliyotwaa ubingwa bila kupoteza hata mechi moja.Simba haina uongozi baada ya "NKWABI" mwenyekiti aliyeteuliwa na wanachama kusukumwa nje alipohoji maslahi halali ya Simba! Sasa kuna njaa kali Kaduguda hasemi chochote zaidi ya "ndiyo" boss Mo!
πππππ ππ πππππ ππ knockout aisee, nilishangaa ana twit kila dk kumbe kuna makasiriko ndani yakeHatimae boss wetu nae amlipua kigwangala.
Yule fala analolote la maana zaidi ya kupiga majungu tu ??Kigwa kasemaje mje na Mada iliyojitosheleza hapa tuchangie , maana Kigwa naye Mzee wa kuchemka msisahau hilo.
Mudi amepanic π€£π€£Hatimae boss wetu nae amlipua kigwangala.
Muda ni mwalimu mzuri
Ila Mo is very petty.. hahaha! Kwamba mkopo wa pikipiki sio..[emoji16][emoji16][emoji120]Hatimae boss wetu nae amlipua kigwangala.
Issue sio uzoefu wake, issue ni conflicts of interest.Jamaa aliomba mkopo wa pikipiki ikashindikana. Ikabidi atafute ujiko kwa njia nyingine. CEO ni mtendaji mkuu na alikuwa kwenye Bodi kwa miaka 3 tokea Simba ibadilishe mfumo.Ana uzoefu wa kutosha wa uongozi.
Sometimes nadhani Hawa wakezaji wanna mambo yao tu na sio kukuza mpira kama tunavyodhani...Issue sio uzoefu wake, issue ni conflicts of interest.
Hii ni pisi ya Mudi, ni mfanyakazi binafsi wa mudi leo anakua CEO kwenye taasisi ambayo Mudi ni muwekezaji mwenye hisa hamuoni kuwa atakua anafavor maslahi ya Mudi zaidi kuliko maslahi ya taasisi??
Sasa Yanga wamehusikaje na hilo mkuu maana aliyeleta hoja ni shabiki wa simba kabisa. Au una shida na YangaNyani ni Nyani tu.Haoni kundule. Utopolo kweli una moral athourity ya kuzungumzia Simba wakati mmepakatwa na mwarabu koko wa GSM na msomali pori.
Wanasajili wao tena kwenye sitting room zao huku mkiwa na klabu bila nembo wala ushuzi.
Unafikiri Shija alijiuzulu kwanini?
Sasa hivi GSM wamesema wamesajili ila nyie Utopolo mlipe mishahara. Wakijua hamna uwezo huo ili mzidi kuwaachia klabu.Hiyo ni blackmail.Mmekazia shingo Simba huku nyumba ya mabua inauungua.
ππππ πππππ ππππππ ππππππππππππ ππππ π πππ? πππ π serious na vitu vya msingSometimes nadhani Hawa wakezaji wanna mambo yao tu na sio kukuza mpira kama tunavyodhani...
Hapa alipofika ni mbali Sana ...bwana mudi.. in short simba ishakuwa kakitu kake ka kupotezea muda na kumkeep busy.. Sasa akipewa hadidu nzito nzito anaona sio starehe tena Ni karaha .. kwa namna hii anakuwa na control ya hadidu..
[emoji16][emoji16][emoji16]Halafu mudi asivyokuwa muongo mzuri.. hata kabla hajaulizwa kashakana ..hajamchagua yeye..Ni Kikao kizuri ndio kimefanya yake[emoji16][emoji16]
Na taarifa hajatoa afisa habari katoa yeye.. [emoji16][emoji16][emoji16] mudi anatuona mandezi Sana.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Chief.. Watanzania ndio waswahili wenyewe [emoji16][emoji16]Hali kama hii ya watu wanaojiona wajuaji,walisababisha Stand United idhoofu na waliingiza nguvu zao za kisiasa baada ya kuona timu imepata udhamini mnono kutoka barrick gold.
Hawa hawa wachambuzi wakajiingiza na kuleta uchochezi huku wakifurahia malumbamo yaliyokuwepo.Sasa hivi huwasikii tena baada ya wafadhili kujitoa na timu kushuka daraja.
Kifupi watanzania wana asili ya uswahili na ubishi usio na tija na matokeo yake wakishafanikiwa kuharibu huwaoni tena.
Chokochoko ipi mkuu..?Nimeona baadhi ya wachambuzi maandazi wamepata jambo la kuongelea wiki hii nzima baada ya kigwangala kuhoji uteuzi wa CEO mpya wa Simba.
Kifupi tu namuomba aache kuleta uswahili na choko choko kwa club ya Simba.Kwani naamini ukitoa dili zilizomtoa kisiasa,hana uwezo wa kujua masuala ya uendeshaji timu, uongozi na usimamizi wa miradi mikubwa.
Kama tu ameshindwa tu kuimarisha chuo chake mradi ambao ni uwekezaji wenye faida kubwa na wenye uwezo wa kuajiri watu wengi, atakuwa na mawazo gani ya kuishauri Simba kama sio tu kuanzisha choko choko?