Simba tunatumika kumuingizia kipato Mudi bila kujua, hajatuwekea senti zetu ila kila mali yetu kuna nembo za Mudi. Hahahaaaaa umaskini ni upofu wa kudumu.
Naona hili suala ni nyeti ila kwa vile kipofu huwa haoni anakokwenda ngoja tutulie maana shimo la mauti linakaribia
hapa ndio ushahidi kwa Hamisi hana akili hizo kama anavyotaka kujionyesha. ni kilaza tu
mashabiki mandazi pekee hawaoni hayaHii Simba unayoisema haijaanza leo,Mo hakuwepo miaka ya 1984/85 ilitaka kushuka daraja.
Mlikuwa wapi kuisaidia Simba kabla haijapata mwekezaji?
Acheni unafiki.Unafiki na roho za kichawi zitawaua!
Huyo siyo shabiki was Simba bhana...unajisumbua bure..hao ni mashabiki wa uto walioathirika kisaikolojia...ni kama wachawi wanao omba Simba ivurugike usiku na mchana...Mara Kagere kampiga kocha na blah blah nyingi...Mara sisi ndo tumejaza uwanja..Ni kweli kabisa ila kama shabiki wa Simba kipi unataka kwa sasa, Mwamedi atoke?
Kumbe wote ni akina HAMISI...!Hamis Kilomoni X Hamis Kigwangala ..[emoji848]
S02 ...Loading...
Hata 500 hajawahi toa kama anataka kuwa juu ya MO atoe zote 51%, watu wamekula ruzuku za ubunge lakini hawatoi 51% ila wanataka kukopa kwenye 41% ndio maana hatuendelei.Toka uongozi wa Mo Dewji Simba imezidi kusonga na kuimarika. Leo hii ndiyo club kubwa East Afrika. Wapuuzi wachache wanaleta chokochoko sababu hawana. 51% zipo wazi nunua na wewe share uwekeze sio kupiga domo mitandaoni hujui hata Bwalya kapatikanaje
My brother,Mkuu heshima kwako, naomba unisaidie kujibu maswali haya :
1. Kwenye Makubaliano ya uwekezaji, hiyo hela ilikuwa itolewe yote kwa mkupuo au ni kwa instalments?
2. Toka MO apewe 49% ya share za Simba, hadi sasa ameshatumia gharama kiasi gani? je gharama hizo ni Sehemu ya ile 20B?
3. Toka MO apewe team, je kuna mabadiliko yoyote kwenye performance ya team?
Simba ilishatoka kwenye enzi za migogoro ya kina Mzee Kilomoni, huu ni muda wa kujadili mipango ya maendeleo na sio fitna zisizokuwa na tija yoyote
Na nyie so called mashabiki mmeweka nini kwenye shares zenu za 51%?My brother,
Makubaliano yalikua hela ilipwe kwa mkupuo pindi mabadiliko yatapokua tayari.Na kibaya sasa huu unaelekea mwaka wa 4 tangu Mo aichukue timu Kama mwekezaji..
Hatukatai performance ya timu imekua nzuri sana,ila hofu yetu Kama mashabiki na wanachama ni kua Mo ni binadamu kama walivyokua binadamu wengine zinaweza zikatokea circumstances Kama vile Mo kufariki au 'akafilisika' bil20 zikashindwa kulipwa,ndio maana sisi Kama mashabiki ambao tuna nia nzuri na hii timu,tunataka hiyo fedha iwe deposited haraka ili kuondoa baadhi ya 'unforseen risk',
Kuhusu hela ambayo Mo anaitumia kwenye timu kwakweli sijui,Maana hizi timu zetu haziweki mapato na matumizi yake 'public'.
Anaishi kwa shemeji ake alafu anauliza mbona tunakula ugali badala ya wali...Na nyie so called mashabiki mmeweka nini kwenye shares zenu za 51%?
Wewe unayejiuliza hapa umelipia nini kwenye huu mchakato?Wajibu wako kama shareholder ni nini?
Au ujuaji tu?
Umeulizia mapato na matumizi ya klabu kama mwanachama ukakosa?
Yanawekwa hadharani kwa wanachama kwenye kila mkutano mkuu.
Tumejenga jengo la makao makuu ya timu ya timuNa nyie so called mashabiki mmeweka nini kwenye shares zenu za 51%?
Wewe unayejiuliza hapa umelipia nini kwenye huu mchakato?Wajibu wako kama shareholder ni nini?
Au ujuaji tu?
Umeulizia mapato na matumizi ya klabu kama mwanachama ukakosa?
Yanawekwa hadharani kwa wanachama kwenye kila mkutano mkuu.
π·πππ ππ πππ ππ π’π ππππππ’ ,ππ ππππ π’π π’πππ ππππ πππππππππ 2010Plus the tweet ya huyo dada .. ya kumuonya Kigwa juu ya utupaji ndoano kule DM.. ilikuwa haina direct link na Tweet ya mo.. the only link could be..
Huyo dada aliyetweet.."Huenda" anajua kigwa keshatupa ndoano kwa CEO na huku Mudi naye keshajiweka.. huu mlipuko una mengi.
[emoji881][emoji881][emoji16][emoji1241]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji120]kwa clarification Kiongoziπ·πππ ππ πππ ππ π’π ππππππ’ ,ππ ππππ π’π π’πππ ππππ πππππππππ 2010
[emoji23][emoji23][emoji23] boss umepaniki..'em' kunywa maji afu 'urelax',baada ya hapo refer swali lako uliloniuliza.Umeelewa swali au umekurupuka kujibu?Rudia kusoma tena. Unalipia shillingi ngapi membership fees kila mwaka?
Unalipia kiingilio!!Ndio uwezo wako wa kufikiri kwenye huu mchakato. Kwani mwanzo ulikuwa unaingia bure?
mkuu, kila kitu kina taratibu zake, ni sawa na mtu aje kulima shamba lako bila kukulipa chochote na wewe ufurahi eti kwa sababu ulishindwa kulilima. huo ni upumbavu.Simba sio ya wananchi ni ya wanachama, lete katiba ya Simba iliposema Simba ni ya wananchi. Au mnafikiri hata mashabiki wa simba ni sawa na Utopolo wanaoambia timu ya wananchi wakati kwenye katiba zao wamesema ni ya wanachama.
Wenye Simba ni wale wenye kadi na wanazilipia kadi za Simba hao ndo wenye Simba maana ndo sifa ya kua mwanachama.
Furaha ya mashabiki wa simba ni kuona timu inafanya vizuri haijalishi inamilikiwa na nani. Hata kama atapewa hisa zote haina shida maadam brand ya Simba inaendelea kua juu