Kigwangala usilete mgogoro Simba, lazima tuwaamini uongozi uliopo

Kigwangala usilete mgogoro Simba, lazima tuwaamini uongozi uliopo

Maslahi ya Taasisi ni yapi na maslahi ya mudi ni yapi?
mkuu, kabla MO hajakubaliwa kuingia simba alipewa masharti, na mojawapo ni kuwekeza bilioni 20 ili timu ijitegemee, na alikubali, lakini mpaka sasa hajaweka chochote, wakina nkwabi walipohoji akawatimua
 
Mfano wako hauna uhalisia

Abromovic ile chelsea ni timu yake....Je Mo hiyo Simba ni timu yake?
Unajua Prince Kunta nimeangalia namna ile press conference yote ilivyokwenda..[emoji16] body language...

Nikapita kuna uzi humu mwana JF mwenye habari nyeti akieleza namna CEO alivyo karibu na Boss.. na heka heka zake za maneno maneno..

Akagusia na jinsi CEO anavyoogopwa.. na hata kufikia kusema Bwana Senzo alikimbia sababu moja wapo Ni CEO..

Sio swala la.kuleta raha..ila leo ilikuwa as if baba Mwenye nyumba anawatangazia watoto wake...kale ka mchepuko kake kakali kakali ndio kamekuwa ka maza hausi[emoji16][emoji16] mnanuna ila mtafanyaje mnakubali[emoji16][emoji16]tu kishingo upande

Mudi bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaha upo sahihi mudy inaonekana hafurukuti pale

Nasikia kinachofuata sasa hivi madam CEO Mchepuko umepeleka wazo la jina lake liwepo kwenye majina ya mali za timu kamaa uwanja, muda si mrefu jina la timu linafanyiwa marekebisho tutarajie timu ikiitwa Ba & Mo simba fc
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji881][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Am out

Unanitafutia majanga wewe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
simba washapewa limbwata na mudi sasa hivi wote walishakua kama ndama kazi yao nikulia tu, mooooo, eti kisa kuchukua ubingwa wa ligi mara tatu mfululizo, ndio kila mtu atakaeoji unjajanja wa mudi anaoneka ni adui, na Mudi anatumia udhaifu wa mashabiki wa mikia wengi wao shule hamna kwahiyo anawapeleka anavyotaka, hatuoni akihitengeneza timu katika misingi ya kujitengemea matokeo yake anataka timu iwe inamtegemea tu yeye na hapo ndio anawapeleka anavyotaka yeye

Umeshasahau wiki zilizopita mliambiwa mkusanyike terminal airport kumpokea mchezaj, ghafla mkaambiwa '' vyura rudin jangwani'' huku sio kupelekeshwa?
Sahiv suala la jezi mpya mshasahau? Jinsi mnavyopelekeshwa na GSM mnafyata mikia
 
Huyo Kingwangala si alikuwepo kwenye mkutano wa mabadiliko ya katiba na uwekezaji?
Alitoa maoni yake?
Personal vendetta zisimfanye sasa ajidai ni mtetezi wa maslahi ya Simba .Yeye ameisaidia nini Simba?
Au mkopo umeleta nongwa?
Atofautishe biashara na mambo yanayohusu Simba.
mpumbavu tu yule. umeona akitetea maslahi ya 51%? chokochoko zote hizi ni personal interest
 
It's football ..not war.. relax and have fun Chief.

Hata hivyo mie sijapinga mafanikio.. au wewe umeitoa wapi hii notion ya mimi kutokuuona mchango wao!?

Wewe mchango wa Senzo uliuona!? Was there a need to replace him ikiwa timu ilikuwa inafanya vizuri!? With absolute certainty, unaweza kusema CEO mpya ana sifa za ubora kuliko Senzo!?

Tumezoea shamrashamra kwenye habari kubwa Kama hizi ndani ya klabu.. hints, tambo (ukizingatia anakuwa CEO wa kwanza Mwanamama) why this is so gloomy!?

Huu mpira wa Yanga na Simba unakazi nyingine nyingi kuliko kuleta burudani Uwanjani tu.. na watu wakihoji sio hawapendi..hapana... ukianza kuwakandia huo sio ushabiki unakuwa ni uzwazwa.. utashabikiaje to the point huoni flaws tena!! Ndugu yangu!!

Sote tunaitakia Simba mema.. na tunapohoji lengo letu ni kuboresha. Tujadiliane tuondoane sintofahamu.. sio kuwekana lebo kisa mtu kahoji. It's not the Simba way.

Simba & Yanga day zitakuwa more fun siku tukiwa tunakipiga fainali za Champion League.. Tunaenda klabu Bingwa ya Dunia.. maana kufungana sisi haipaswi kuwa lengo pekee kuu.. tutoke nje ya hiyo bubble.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe unadhani tutacheza final champion league kwa namna hii mnavyotaka timu ziwe? Sisi tunatakiwa tuwe tunajadili zaidi football development lakin muda mwingi tunajadili football politics. Kuna flaws nyingine lazima ziwepo hasa katika hatua za awali Kama hizi. Uwekezaji katika ligi yetu ni mdogo Sana na ligi haina wadhamini wa kutosha. Senzo hakua na mafanikio yoyote Yale yenye utofauti na Simba ya msimu uliopita. Huyu mpya tutampima mwisho wa msimu.
 
Nadhani hujazielewa hoja zake

Anachohoji yeye ni kua inakuaje mo hajalipa 20b ambazo ndo zinazomfanya awe na uhalali wa 49% ya hisa na tayari ashakua mkurugenzi na anafanya maamuzi inawezekanaje?
Hoja yake ya Kwanza ingekua anasaji na kulipa Mishahara Kama Nani? Halafu hilo alilouliza lingekuwa swali la pili
 
Hoja za kinafiki na zimetolewa kinafiki,na wanafiki ndio wanaunga mkono.
Sioni kwa nini Yanga mnamsapoti sana na mnaumia kwa ajili ya Simba huku kwenu hali ni mbaya kuliko ya Simba
Kabisa kaka, Kigwangwala ana hoja za msingi.
 
Hii ni akili ya madesa tu.Unasoma chuo unakuja mtaani umekariri "conflict of interest" unakwama hapo,then unatumia ujuaji huo kuibua migogoro ili tukuone unajua.Kama unajua tuoneshe wapi ulitumia akili yako kufanikisha jambo
Yaani ni akili ya kawaida kabisa hii, sijui wanafeli wapi hawa viumbe.
 
Unachanganya mambo ya uswahili na mipango ya kisomi.Kama ni mchepuko wa Mo we roho inakuuma nini?Mbona mnakuwa na tabia za kike sana?
Mudy kamuonga timu mchepuko

Anatokea.mtu anahoji kuhusu mgongano wa kimaslahi baina ya uyo CEO na Mo anatokea mbumbumbu anapaayuka
 
Ahsante sana mheshimiwa Kigwangwala umekuwa SAUTI KUU ya wasiokuwa na sauti! Simba sio bikini za kuhongana! Mo toa mahari (20bn) upate uhalali 49% ya kufanya maamuzi. Kama vipi sepa, Simba ilikuwepo kabla yako! Alikuwepo Azim Dewji akaondoka simba ikabaki!
 
Kigwangala ana tabia ya wivu na chuki.Aliwahi kumfanyia chuki Dr.Mwaka na akafanyiwa figisu nyingi sana.Lakini ukijiuliza,kwa nini Mwaka?Unaona ni kwa vile alikuwa amefanikiwa.
 
Lazma tujue uhalali wa mo katika kumteua PA wake kuwa CEO wa club

Simba ni ya wananchi so kama anataka kumiliki simba hatoweza
 
mkuu, kabla MO hajakubaliwa kuingia simba alipewa masharti, na mojawapo ni kuwekeza bilioni 20 ili timu ijitegemee, na alikubali, lakini mpaka sasa hajaweka chochote, wakina nkwabi walipohoji akawatimua
Nimeuliza maslahi ya Simba ni yapi na MO ni Yapi?
 
Lazma tujue uhalali wa mo katika kumteua PA wake kuwa CEO wa club

Simba ni ya wananchi so kama anataka kumiliki simba hatoweza
Simba sio ya wananchi ni ya wanachama, lete katiba ya Simba iliposema Simba ni ya wananchi. Au mnafikiri hata mashabiki wa simba ni sawa na Utopolo wanaoambia timu ya wananchi wakati kwenye katiba zao wamesema ni ya wanachama.
Wenye Simba ni wale wenye kadi na wanazilipia kadi za Simba hao ndo wenye Simba maana ndo sifa ya kua mwanachama.
Furaha ya mashabiki wa simba ni kuona timu inafanya vizuri haijalishi inamilikiwa na nani. Hata kama atapewa hisa zote haina shida maadam brand ya Simba inaendelea kua juu
 
Back
Top Bottom