Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kumtukana mtu sio lazima kumtukana tusi!. Mbumbumbu KWA mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) toleo la tatu la mwaka 2014, maana ya neno mbumbumbu ni mpumbavu, juha, fala, zuzu.Mbumbumbu si tusi, ni kivumishi cha sifa ya mtu.
Mimi si mwanasheria wala si mjuzi wa sheria Mimi ni mbumbumbu kwenye agle ya sheria.
P