Kigwangala, mmoja kati ya wapuuzi wengi waliofanikiwa kwenda shule, lakini shule/elimu waliyopata haikuwasaidia lolote bali kuibua tabia mbovu walizojaaliwa kuwa nazo.
Ubovu wa CCM ulipofikia sasa, ndio unaowafanya hawa wapuuzi ndio wawe mstari wa mbele kama mfano wa ubovu wa chama hicho.
Ukitaka kujua nisemalo ni kweli, hebu taja mtu makini yeyote toka huko ndani ya CCM uliyemsikia akiropoka hovyo hovyo kama hawa wapuuzi.