Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
KERO: Mkuu wa wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro, amekuwa kikwazo mzigo na hatari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Utangulizi: Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, amekuwa kikwazo na mzigo kwa chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro . Sera ,uelekeo wake na vitendo vyake vinaonyesha wazi kuwa anamuunga mkono mgombea ubunge wa CCM aliyeanguka, ambaye alifanikiwa kupata kura 557...www.jamiiforums.com
Haki haiombwi, Usibaki nyumbani tafadhali. Jukumu la kuufurusha utawala wa IMLA/MKONO WA CHUMA liko mkononi mwako. #WananchiWenyeNchi #NguvuYaUmma #KataaWahuniMchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 katika Jimbo la Nzega Vijijini umeacha gumzo zito, baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Dkt. Hamisi Kigwangalla, kudaiwa kuangushwa kwa hila, hujuma na mchezo mchafu wa kisiasa.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya vikao vya wajumbe, mchakato huo uligubikwa na vitendo vinavyodaiwa kuwa vya kupanga matokeo kwa makusudi ili kumng’oa Dkt. Kigwangalla, ambaye alikuwa akiwania ridhaa ya kurejea bungeni kupitia tiketi ya CCM. Wajumbe kadhaa wameeleza kuwa kura zake “zilipigwa chooni” – ishara ya wazi kuwa hakuheshimiwa wala kupewa nafasi ya haki kama mwanachama na kada mwandamizi wa chama hicho.
View attachment 3433569
Warudi kutibu siwamesomea udaktari haoYeye na mke wake wote wamenyooshwa, wangekuwa wanajielewa angebaki mgombea mmoja mwingine amsaidie mwenzake
Anaacha kutibu watu anakimbilia bungeni.Washafanya siasa kuwa ajira...
Si ndio mabao ya mkono haya wanayojivunia hao wavaa kijani na njano, chama cha majambawazi 😀 😀Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 katika Jimbo la Nzega Vijijini umeacha gumzo zito, baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Dkt. Hamisi Kigwangalla, kudaiwa kuangushwa kwa hila, hujuma na mchezo mchafu wa kisiasa.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya vikao vya wajumbe, mchakato huo uligubikwa na vitendo vinavyodaiwa kuwa vya kupanga matokeo kwa makusudi ili kumng’oa Dkt. Kigwangalla, ambaye alikuwa akiwania ridhaa ya kurejea bungeni kupitia tiketi ya CCM. Wajumbe kadhaa wameeleza kuwa kura zake “zilipigwa chooni” – ishara ya wazi kuwa hakuheshimiwa wala kupewa nafasi ya haki kama mwanachama na kada mwandamizi wa chama hicho.
View attachment 3433569
Yeye na mke wake wote wamenyooshwa, wangekuwa wanajielewa angebaki mgombea mmoja mwingine amsaidie mwenzake