Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maoni kwa:Kikubwa alichomaanisha jamaa
Ni kuwa alitakiwa hatumie HEKIMA kubwa katika kufikisha hayo maswala
Sababu yalikuwa yanawagusa wananchi na yeye kama kiongozi Mwanasiasa ilipaswa atumie BUSARA katika uwasilishaji
Sababu ukishakuwa maarufu au kiongozi unatakiwa uchague sana maneno ya kuongea na wakati upi ni sahihi na yupi wa kumlenga
Sababu utakapoongea utasikika na wengi na hao wengi si wote wataelewa vile wewe ulivyokuwa unamaanisha au kukusudia
Wengne wataelewa namna BONGO yao itakavyochakata na wengne watakuelewa nini unamaanisha
Ndio maana hata Mama samia alivyoanza alikuwa moto kuzungumza yaliyo moyoni mwake mpk watu wakaanza kumuona kivingne
lkn wakawahi wakamkumbusha yeye sasa namba 1
Hvyo akapunguza akawa anatumia HEKIMA na BUSARA ya uongozi na akawa anajua wapi azungumze hili na wapi azungumze hivi ndivyo KIONGOZI uliyepewa DHAMANA unavyotakiwa
Na ndio Sifa kuu ya uongozi
HEKIMA BUSARA UOENDO kwa unaowaongoza UKARIMU katika uzungumzaji na hata kujizuia HISIA zako katika kuwasilisha mikakati yako ya kimaendeleo 7bu unaongoza jamii mchanganyiko ya makabira yote dini zote wanasimba wanayanga wanyonge matajiri mashetani wachawi nk
Ukiweza hayo unakuwa kiongozi bora wa mfano
HahahahahaYule hata ukimuangalia namna alivyo tu unaona kabisa dishi limeyumba.
Naona anatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuweka mambo sawa kulinda jina lake, anashinda Twitter akijisafisha. Mara utamuona Instagram akijisafisha. Ametembea baadhi ya media kujisafisha. Juzi kaita wazee wa jimboni kwake kujisafisha. Well and good ila the damage is done.Kigwangwala ni moja wanasiasa vijana machachali wa zama hizi ambaye safari yake ya kisiasa uhenda ndio imemalizika.
Naona anatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuweka mambo sawa kulinda jina lake, anashinda Twitter akijisafisha. Mara utamuona Instagram akijisafisha. Ametembea baadhi ya media kujisafisha. Juzi kaita wazee wa jimboni kwake kujisafisha. Well and good ila the damage is done.
Kuna matukio matatu ambayo yamechangia kumporomosha kisiasa.
Jambo la kwanza, ni kuingilia masuala ya uhendeshaji wa Simba. Hapa aligusa hisia za wanasimba walio wengi wanamuona kama anataka kuwarudisha nyuma so popote watapopata chance ya kumpiga watamtandika kweli kweli.
Pili, kutoka hadharani baada ya kifo cha Magufuli na kuanza kupromoti chanjo ya COVID 19. Hapa aligusa hisia za wafuasi na mashabiki kindakindaki wa Magufuli waliona kama ni msaliti. Wengi walikuwa wanamuuliza ulikuwa wapi kusema hapo nyuma? Lakini pia ili kundi la chanjo lina mizizi sio tu kwa waliompenda Magufuli bali mpaka kwa watu wa imani na mitazamo ya kiafrica hao wote aliwagusa pabaya. Wanasiasa wabobezi hutowasikia wakitoa maoni kuhusu chanjo.
Tatu na lililopigilia msumali wa ndoto za kisiasa za Hamis haswa kwenye kusaka influence kwa vijana ni ishu ya ripoti ya CAG ambayo iligusa moja kwa moja sio tu wizara yake bali ofisi yake kama waziri. Hapa HK walimmaliza.
Mchanganyiko wa haya matukio matatu umempotezea Kigwangwala weledi wa kisiasa.
Inawezekana Kigwangwala alikuwa sahihi kwenye kila jambo hapo ila shida yake kubwa jamaa anakosa namna nzuri ya kuwasilisha mambo yake.
Pia sio mtu mwenye subira, hawezi kusubiri wakati sahihi wa kuzungumza jambo na hii ndio weakness yake kubwa. Ni mtu mwepesi sana kuwa provoked.
Namalizia kwa kusema Kigwangwala amefata njia ya January Makamba. Vijana machachali wa kisiasa walioangukia pua sababu ya kutojua kucheza na wakati.
Ajali zao za kisiasa zinaweza zikawaacha walemavu milele.
Naona anatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuweka mambo sawa kulinda jina lake, anashinda Twitter akijisafisha. Mara utamuona Instagram akijisafisha. Ametembea baadhi ya media kujisafisha. Juzi kaita wazee wa jimboni kwake kujisafisha. Well and good ila the damage is done.Kwani Hamis mwenyewe anasemaje?
Bora umesema mimi nilikuwa naona aibuHiyo hoja yako ya kuihusu simba, naona ni hoja dhaifu kabisa! Na kwa mtazamo wangu, haikustahili kabisa kuwekwa kuwa sababu namba moja!
Ndumba nazo zinambeba sanaHuyu kweli mwamba,licha ya kashfa lakini sijawahi ona akiburuzwa mahakamani
Ova
Kigwangalla alikuwa anapata vyeo kwa kumwaga damu za wanafamilia wake. Aliua mtoto wake akapata ubunge. Then akaua baba yake akapata uwaziri. Yale ma FREE Mason yake yanataka damu. Kwa hiyo labda aue mkewe sasa ndiyo atapata uwaziri kwa Rais SSHKigwangwala ni moja wanasiasa vijana machachali wa zama hizi ambaye safari yake ya kisiasa uhenda ndio imemalizika.