Kigwangalla amtupia kijembe "Mo", asema ni tapeli, bahili na Janjanja

Kigwangalla amtupia kijembe "Mo", asema ni tapeli, bahili na Janjanja

Huyu jamaa hajiheshimu..

Atakuja juta one day
 
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Mbunge na Mwanasimba Hamis Kigwangalla ameandika ujumbe wa mafumbo kwenda kwa mmiliki wa Simba "Mo" akitumia "codename" ya "Glazer" ambaye ni mmiliki wa Manchester United

Kigwa ameandika:

"Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine hawana shida kabisa…Glazer ni tapeli, janja janja, fitna na bahili kweli kweli! Siyo kama Ghalib ama Yusuf, wale wamenyooka, wanatupia mzigo wa Maana kwenye timu! Sisi mpaka leo Glazer hajalipia hisa zake…I repeat mpaka leo hii! Ni miaka mingapi hiyo? Unajua sababu yake? Ulidhani GSM tungemjua bila Manji kuondoka Yanga? Ukitaka kwenda peponi lazima ufe kwanza."


View attachment 2808632
njoo uwekeze wewe kama vipi,,,sio unamzodoa mwenzako wakati wewe ata nyumba yako umejenga kwa rushwa ulipokuwa waziri!!!,"pua kama kitako cha baiskeli"
 
Laana ya kuwapigisha magoti wale Askari walio mzidi umri na akili na busara haitamuwacha huyu ngwalangwala salama.
 
Back
Top Bottom