Kigwangalla asema kukataza mabegi ya shangazi kaja kwenye treni ya SGR ni ubaguzi wa wazi

Kwann inclusion na fairness inaongelewa kwenye SGR tu? Mbona haiongelewi kwenye bombardier? Au hizo bombardier hazikununuliwa kwa kodi za watanzania wote?
 
nazani wanaweza weka behewa moja nyuma ya tren ya abililia kwa ajili ya mizigo midogomido na hao mbuzi kuku sema sasa kwa hilo dude linavyojali muda shida itaanzia apo mtu anashuka njiani kukuwake wapo nyuma huko mpka kuwatafuta na kuwatoa itachukua dakika ngapi na mkojo wa bebelu mbuzi unavyonuka aisee bora wakataze tu haina jinsi
 
Kwann inclusion na fairness inaongelewa kwenye SGR tu? Mbona haiongelewi kwenye bombardier? Au hizo bombardier hazikununuliwa kwa kodi za watanzania wote?
Ndege inajulikana ni usafiri wa bei ghali ila usafiri wa train dunian kote huwa ni cheap kuliko usafiri wa hata basi. And by the way ndege uzito ni jambo la msingi ndio maana ndege wanachaji kwa uzito ila maji wanachaji kwa CBM.
Mimi hoja yangu iko kwenye nauli. Maana mwanzo ilikuwa kama vile hii train inaenda kuwa mbadala wa basi na cheap ila sasa ni kama vile ni usafiri wa tabaka fulani kwa bei zilizopo. Yani nauli ya basi ni cheap sana kuliko train naona kama vile wamehama kwenye wazo la awali sawa na walivyohama kwenye bwawa na Nyerere lilolenga kushusha bei ya umeme.
 
Sh
Aache blahblah

Huo mradi wautunze maana wabongo wanajulikana kwa kuharibu mali ustaarabu sifuri

Ova
Shangazi kaja unaharibu miundo mbinu, kitu kikubwa mzigo uweze kuingia kwenye eneo la mizigo, usiwe ni usumbufu Kwa abiria wengine. Pia kuhusu chakula si kuna vyombo vya kutupia Chakula kwenye behewa Husika na katika vituo vya Gari Moshi .
 
Hiso ni Standards hakuna ubaguzi.

Mbona wao wanatembelea ma-vieti ila watendaji wanawapa pikipiki?... Huo sio ubaguzi?

Mbona huku Mtwara hatuna Reli wala SGR, Huo nao ni ubaguzi?

Kwan si wakapande Hood
 
Naungana nae ,sie watz bado maskini sana na hii kitu imekamua sana aisee
 
Muhindi yuko anasajili wachezaji yeye anajifanya kama hayupo anasubiri timu ifanye vibaya aanze kuimba taarabu zake kama kawaida
 
Asitafute kiki za kijinga; mbona haruhusu wenye baisikeli kuendesha katikati ya barabara kwa vile ni barabara ya watanzania wote?

Iwapo kila abiria akiingia na hilo shangazi kaja ndania ya behewa basi inaaza kuwa ni vigumu hata kwa abiria kuondoka kitini kwenda hata uani tu. Kuna mambo mengine watu tuwe tunayajadiri kwa mapana; wengie hapa wanaaandika kwa kufikiria shangazi kaja moja tu, bila kufikiria iwapo kila abiaria atakuwa nalo.
 
Watanzania hatuelewi tunataka nini, unabebaje kuku na shangazi kaja kwenye train? Ustaarabu ni neno gumu Sana Kwa watanzania
Ulimnunulia bag kama lako akagoma kulibeba.Maisha hayafanani hilo Train limenunuliwa na kodi za wote include huyo mwenye li shangazi kaja
 
NA DHARAU KUBWAA SANA AISEE
 
Najuwa kwa nini anataka Shangazi kaja ziwepo. Ni kwamba wale waganga wake wa ramli huwa wanaweka tunguli zao kwenye shangazi kaja. Pembe na vibuyu havikai kwenye begi au sandukuni.

Awawezeshe wanyamwezi wenzie wapate mabegi ya kusafiria. Shangazi kaja mwisho NZEGA. Hatutaki uchafu kwenye SGR yetu.
 
Hawa ndio mama zetu na ndg zetu pia wanaotumia hzo shangazi kaja achilia mbali kuwa ni moja ya walipa kodi.



Hapo Tz bado ni nchi ambayo uchumi wake ni dhoofu lakini tunaishi kwa kubaguana namna hii tena sauti ya mamlaka kabisa.



Huu ni upumbafu na ujinga mixer ulimbukeni kiwango cha lami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…