Kigwangalla asema kukataza mabegi ya shangazi kaja kwenye treni ya SGR ni ubaguzi wa wazi

Halafu train ikiwa na hasara, serikali iendelee kutoa subsidy.

Wapande usafiri mwingine unaoruhusu kubeba kuku na mifugo mingine.

Culture nayo ina evolve, leo ukivaa katambuga utaonekana wa hovyo. Ukitaka kubeba kuku nenda na usafiri wako.
 
Kigwangalla ni mshamba mshamba anataka mradi uwe wa hovyo apate cha kusema
 
Wewe unachokosa ni Ustarabu.
 
Sasa shangazi kaja na kuku ni shida? hata kwenye ndege sijawahi kusikia wanakataza shangazkaja!!

Waweke utaratibu wa kulipia gharama za vitu vya ziada
 
Nchi ambayo shule hazina vyoo huku wananchi wakijisaidia vichakani eti leo hawataki Shangazi kaja! Natabiri mradi huo kufa soon kutokana na laana ya Mungu
 
Ungelipigania kwamba Mbunge Mmasai avae lubega, sime kiunoni na fimbo mkononi awapo ndani ya Bunge mbona ningekuelewa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…