Tetesi: Kigwangalla kuwa Waziri mpya wa Afya, Dr. Gwajima kwenda Jinsia, Wanawake, Wazee na Watoto!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hizi tetesi zimesikika hapa Sanya juu kwenye tukio kubwa la kumsimika Chifu wa Siha Mangi Kileo.

Viongozi mbalimbali wa serikali wapo hapa hivyo tetesi kama hizi siyo za kupuuza.

Mangi Kileo ni miongoni mwa wasomi WANNE wa kwanza wa Tanzania kugraduate Makerere akiwemo pia mzee Cleopa David Msuya.

Mangi Kileo amehudumu serikalini katika nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo Kigwangalla alipata kuhudumu pia.

Lisemwalo lipo kama halipo laja.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 

Ahsante Kwa taarifa ya kusimikwa Chifu.
 
Aahhhhhh wapi bhanaaaaaa!
 
Kumrudisha Kigwangala madarakani ni sawa na mamlaka ya uteuzi kuwadhihirishia Watanzania kuwa ina tatizo upstairs na haikustahili kuwa ikulu.
 
Kumrudisha Kigwangala madarakani ni sawa na mamlaka ya uteuzi kuwadhihirishia Watanzania kuwa ina tatizo upstairs na haikustahili kuwa ikulu.
Hayo ni mawazo yako bwashee!
 
Kigwa hawezi kupewa uwaziri katu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwani kigwangala ni kabila gani?
 
Bwashe unapeleka ujumbe gani kwa Dk Mwaka? Foreplan clinic.😅😅
 

Kwani yeye yuko upande upi kati ya viroboto, wahuni na matapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…