Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigwangala, sidhani kama yupo 100% perfect upstairs.CCM oyee!
Zidumu fikra za mwenyekiti Magufuli
Bashiru Ally aliteuliwa na mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli, hamkupiga ktk kikao chochote zaidi ya kumpongeza huku KIgwangalah ukijua kuwa Bashiru ni mwanachama wa CUF.
Wapinzani waliteuliwa na kupewa nyadhifa serikalini huku mkijua serikali iliyopo sio ya umoja wa kitaifa lakini hamkupinga zaidi ya kumpongeza mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli.
Wapinzani walinunuliwa na kupitishwa kugombea udiwani na ubunge kwa tiketi ya CCM bila kupewa au kusalimisha kadi za uanachama wao huko walikotoka hamkupinga wala kuhoji zaidi ya kumshangilia mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli.
Huo ni inafiki wa kisiasa
View attachment 2425602View attachment 2425603
Kosa la kufoji vyeti na kuiba majinà ya watu lina laana na ndo maana mwamba hajielewi elewi Hivi. Anabaki kupambana na watu kila mtu yeye anaparamia tuKigwangala, sidhani kama yupo 100% perfect upstairs.
Ana mashaka na uwanachama wa Bashiru, wakati ameshindwa kuwa na mashaka na yeye kuitwa Kigwangala wakati Baba yake ni Bagalile...
Mugambo wana ruka na kumanyagana .........hiiii wanachekaaa!Haya yanayotoka nje huko ndani fukuto limezidi