Kigwangalla na Lusinde mnahoji uanachama wa Dkt. Bashiru, mbona hamkuhoji alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM?

Kigwangala, sidhani kama yupo 100% perfect upstairs.

Ana mashaka na uwanachama wa Bashiru, wakati ameshindwa kuwa na mashaka na yeye kuitwa Kigwangala wakati Baba yake ni Bagalile.

Anamshangaa Bashiru, wakati anashindwa kujishangaa yeye ilikuwaje mwaka ule 2010, apate kura chini ya 500 za wajumbe kwenye kura za maoni, halafu ateuliwe kuwa mgombea wakati wapinzani wake, Bashe alipata kura zaidi ya 3,000 na Seleli zaidi ya kura 2,000.

Wala hashangai yeye mpaka kuwahi kuwa Waziri wakati pale Moolman alipokuwa ameajiriwa kama store keeper alifukuzwa kutokana na yeye kuiba baruti.
 
Mnaacha hoja mnajadili vyama, Mwl. Nyerere alishangaa sana kuona CCM inashindwa kujadili hoja na kupoteza mda mwingi kujadili vihoja na watu. Chama kinasimama na kueimamiwa na "wenye uwezo wa kujenga hoja"
 
Kigwangala, sidhani kama yupo 100% perfect upstairs.

Ana mashaka na uwanachama wa Bashiru, wakati ameshindwa kuwa na mashaka na yeye kuitwa Kigwangala wakati Baba yake ni Bagalile...
Kosa la kufoji vyeti na kuiba majinà ya watu lina laana na ndo maana mwamba hajielewi elewi Hivi. Anabaki kupambana na watu kila mtu yeye anaparamia tu
 
Ninashangaa sana Kibajaji kuhoji uanachama wa BASHIRU wakifanya hivyo wanakibomoa chama chote. Yeye mwenyewe alikuwa CHADEMA,na wako wengi tu wakuu wa wilaya,wabunge wenyeviti km M temvu walikuwa upinzani. Wajibu hoja watu wameelemeki sana itakula kwao 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…