Kigwangalla: Serikali Iwafikirie Wajasiriamali na wahangaikaji

Dead Man

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
709
Reaction score
827
Mbunge wa Nzega vijijini Dr. Hamis Kigwangalla Ameomba serikali kuwafikiria wajasiriamali na wahangaikaji wengine.
 
Hayo matusi na kumshambulia huyo mleta ujumbe wa Kigwangala yanasaidia nini?

Kwani huwezi kuandika bila matusi na ukaeleweka?

Unadhani wewe pekee ndiye bingwa wa matusi hapa jamvini?
 
Lakini hoja zake mbona kama zinamashiko
 
Hayo matusi na kumshambulia huyo mleta ujumbe wa Kigwangala yanasaidia nini?

Kwani huwezi kuandika bila matusi na ukaeleweka?

Unadhani wewe pekee ndiye bingwa wa matusi hapa jamvini?
Mdau amekosea jinsi ya uwasilishaji maana hata mimi nimewaza kwa nini.
 
Kuna shida ya uelewa kidogo hapo; hivi Mh anadhani PAYE ni kodi inayolipwa na Kampuni! PAYE inalipwa na mfanyakazi hivyo ukiisimamisha unampa ahueni mfanyakazi na si kampuni kama mh anavyosema.
Huenda kuna vitu hajapata kuvielewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…