Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ndoto hizoDah pengine yupo atakuja kama yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto hizoDah pengine yupo atakuja kama yeye
Wewe uliposema sukuma gang ulidhani unamfulahisha huyo au ulitaka audhike?Hayo matusi na kumshambulia huyo mleta ujumbe wa Kigwangala yanasaidia nini?
Kwani huwezi kuandika bila matusi na ukaeleweka?
Unadhani wewe pekee ndiye bingwa wa matusi hapa jamvini?
Kwani sukuma gang ina maana gani?We
Wewe uliposema sukuma gang ulidhani unamfulahisha huyo au ulitaka audhike?
Sukuma gang!!!We
Wewe uliposema sukuma gang ulidhani unamfulahisha huyo au ulitaka audhike?
Wewe kama MBUNGE Umewafikiriaje Wajasilimia Mali na Wahangaikaji wa JIMBO LAKO?Mbunge wa Nzega vijijini Dr. Hamis Kigwangalla Ameomba serikali kuwafikiria wajasiriamali na wahangaikaji wengine.