Kigwangalla: Serikali Iwafikirie Wajasiriamali na wahangaikaji

We
Hayo matusi na kumshambulia huyo mleta ujumbe wa Kigwangala yanasaidia nini?

Kwani huwezi kuandika bila matusi na ukaeleweka?

Unadhani wewe pekee ndiye bingwa wa matusi hapa jamvini?
Wewe uliposema sukuma gang ulidhani unamfulahisha huyo au ulitaka audhike?
 
We

Wewe uliposema sukuma gang ulidhani unamfulahisha huyo au ulitaka audhike?
Kwani sukuma gang ina maana gani?

Hivi nyinyi uvccm inakuwaje mnashindwa kutumia angalau robo ya akili zenu?
 
Sawa hao ni.sukuma gang na wewe ni gang gani jitambulishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…