Kigwangalla, Shonza na mchungaji Msigwa kwa pamoja wakagua mabanda katika tamasha la Urithi Wetu jijini Mwanza

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Inapendeza kwa kweli viongozi wetu wanapoweka itikadi zao za vyama pembeni na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na maendeleo.

Hongereni sana Dr Kigwangalla, Juliana Shonza na mchungaji Msigwa

Maendeleo hayana vyama

cc: Wakudadavuwa
 
basi yule jamaa hilo litamtafuna week yote

huyu mpiga picha siyo MTU mzuri,haswa kwa mzee wa Twiga
 
Kadi ya chadema na kuitwa msaliti hawachelewi maana wao huwa kwao kila jambo bays haya kama liko wazi. Ukisema nzuri juwa na wewe unatolewa nduki
basi yule jamaa hilo litamtafuna week yote

huyu mpiga picha siyo MTU mzuri,haswa kwa mzee wa Twiga
 
Hakuna shida. Ndivyo inavyotakiwa. Ni waziri kivuli katika Wizara husika
 
Inapendeza kwa kweli viongozi wetu wanapoweka itikadi zao za vyama pembeni na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na maendeleo.

Hongereni sana Dr Kigwangala, Juliana Shonza na mchungaji Msigwa

Maendeleo hayana vyama

cc: Wakudadavuwa
wakati huo MaCCM mnaogopa hata kwenda kumjulia hali mpinzani akiwa hospital baada ya kummiminia masasi 38 mchana kweupe tena kwenye nyumba za serikali.
 
Kuna watu fulani watasemaanataka kununuliwa

Back
Top Bottom