johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kadi ipi mkuu?!Msingwa atanyang'anywa kadi soon
basi yule jamaa hilo litamtafuna week yote
huyu mpiga picha siyo MTU mzuri,haswa kwa mzee wa Twiga
TBC bwashee!Picha iko wapi
Wizara ya akina Shonza?Hakuna shida. Ndivyo inavyotakiwa. Ni waziri kivuli katika Wizara husika
Hahahaaa......!😳😳😳😳😳😳😳
wakati huo MaCCM mnaogopa hata kwenda kumjulia hali mpinzani akiwa hospital baada ya kummiminia masasi 38 mchana kweupe tena kwenye nyumba za serikali.Inapendeza kwa kweli viongozi wetu wanapoweka itikadi zao za vyama pembeni na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na maendeleo.
Hongereni sana Dr Kigwangala, Juliana Shonza na mchungaji Msigwa
Maendeleo hayana vyama
cc: Wakudadavuwa
Inapendeza kwa kweli viongozi wetu wanapoweka itikadi zao za vyama pembeni na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na maendeleo.
Hongereni sana Dr Kigwangala, Juliana Shonza na mchungaji Msigwa
Maendeleo hayana vyama
cc: Wakudadavuwa
Wamimina risasi mnao hapo hapo Ufipa!wakati huo MaCCM mnaogopa hata kwenda kumjulia hali mpinzani akiwa hospital baada ya kummiminia masasi 38 mchana kweupe tena kwenye nyumba za serikali.
Kummiminia masasi 38........wakati huo MaCCM mnaogopa hata kwenda kumjulia hali mpinzani akiwa hospital baada ya kummiminia masasi 38 mchana kweupe tena kwenye nyumba za serikali.
MaCCM yana laana ya kuzaliwa.Kummiminia masasi 38........
Toba weeee