Kigwangalla, Shonza na mchungaji Msigwa kwa pamoja wakagua mabanda katika tamasha la Urithi Wetu jijini Mwanza

Na kwa vile serikali ni ya kidwanzi imeshindwa kuwakamata? Maneno hayo mngejua mnavyo iaibisha serikali kuwa ni mdebwedo mngeacha huo upuuzi!
Mdebwedo wakati watendaji wa serikali za mitaa tu wanawatoeni machozi!
 
..Makonda ana mengi ya kujifunza hapo.

..siyo vizuri wanasiasa KUKASHIFIANA ktk shughuli au ziara za kiserikali.

..kama Makonda anataka "kutema nyongo" dhidi ya wapinzani basi afanye hivyo ktk mikutano au shughuli za CCM, na siyo ktk ziara za Raisi au shughuli za kiserikali.
 
Mdebwedo wakati watendaji wa serikali za mitaa tu wanawatoeni machozi!
Hujasikia ya Mbozi? Fuatilia, kumbe kujifanya kujua mkipata mkong'oto kidogo hoi! Na Chadema waache uungwana sasa kama mbwai na iwe mbwai tuone kama kuna wakubaki kasimama! Bladibasketibali
 
Hujasikia ya Mbozi? Fuatilia, kumbe kujifanya kujua mkipata mkong'oto kidogo hoi! Na Chadema waache uungwana sasa kama mbwai na iwe mbwai tuone kama kuna wakubaki kasimama! Bladibasketibali
Kumbe Mbozi.....nilidhani kule kwa Ole sabaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…