Kigwangalla: Sisi Wabunge tuliopita bila kupingwa tunatembea kifua mbele kwakuwa tupo Bungeni kihalali

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mbunge wa Nzega na Waziri wa zamani, Hamis Kigwangalla amesema haoni tatizo kwa Wabunge kipita bila kupingwa kwa kuwa wapo Bungeni kihalali kabisa licha ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa hivi karibuni kueleza kuwa utaratibu huo uko kinyume na sheria.

Kigwangalla aka kijiwe kisicho na madini

USSR
 
Kweli mmepita kihalali[emoji1]
IMG_20210404_182550.jpg
 
CCM wote hawana uhalali wa kuongoza kuanzia juu hadi chini sababu hawakuchaguliwa kwa kura bali kwa ufisadi ambao ndio msingi mkuu wa chama chako kwa sasa
 
Ila huyu jamaa siku ya mwisho wakikutana na Hayati Mwalimu Nyerere anaweza akalambwa vibao sana
 
Kigwangala alistahili kabisa kuwa Daktari wa mitishamba.
 
Mbunge wa Nzega na Waziri wa zamani, Hamis Kigwangalla amesema haoni tatizo kwa Wabunge kipita bila kupingwa kwa kuwa wapo Bungeni kihalali kabisa licha ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa hivi karibuni kueleza kuwa utaratibu huo uko kinyume na sheria.

Ccm na Katiba ni kama usiku na mchana.
 
Back
Top Bottom