GE2025 KIGWEA: Tulipewa TSH. 20,000 ili tuonekane tumejivua CHAUMMA kutoka CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanaonekana kama wacheza vigodoro

Ova
 
Mimi nilistukia toka mwanzo. Chadema ya sasa wanatumia mbinu zile zile za wale wanaodai ni wahasimu wao. Wamepandikiza watu Chaumma ili wakiharibie.

Kwa wao ni heri CCM ishinde kuliko Chaumma. Bila shaka wale wasanii walitaka T sheti za ziada kwa sababu wengi wa walio wakusanya hawakuwa Chaumma.

Halafu kuna watu humu wanawasema vibaya hawa mabinti maskini ambao pamoja na kupokea 15-20,000 wamekataa kutumika. Na huu mchezo utaendelea. Ovyo kabisa.

Amandla...
 
Wameongea kinyume. Hiki wanachokifanya hapa ndio kimewapatia hiyo elfu 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…