Kihamia: Mjumbe wa Kamati Tendaji Ajiuzuru

Hakuridhia ujio wa Hajji, yuko sahihi kabisa......hata mm sijapendezwa ujio wake, japo ni sehemu ya kazi na anatakiwa atafute maisha yake
 
Awe mkweli tu amemkwepa aliyewaita Yanga wote hamnazo kasoro Kikwete na baba yake Mzee Manara. Ila hongera zake hakutaka kuwa mnafiki na amechukua maamuzi ya busara sana kwa upande wake.
 
sasa nimegundua kuwa wewe ni jobless.
Kila kukicha nyuzi za yanga.

Tutakuja tukuoe malaya wewe
 
Amefanya kitendo cha kiungwana na cha kijasiri! Hata nyinyi kuna kiongozi wenu (sijui ni Magori yule) alijiuzulu urais wa klabu baada ya Mo wenu kukabidhiwa timu, na kuanza kuwapelekesha watu alio wakuta kama magari mabovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…