Kihasibu: Eng hersi mechi 1 goli 1, Kibu mechi 24 goli 1

Kihasibu: Eng hersi mechi 1 goli 1, Kibu mechi 24 goli 1

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ama kweli takwimu za kibu zinatia uchungu, mwaka huu kibu kacheza mechi 24 kafunga goli 1

Eng hersi kacheza mechi 1 na kufunga goali 1

Nimelia sana Leo Baada kusikia hili
Screenshot_20240622-213807.jpg
 
Kihasibu ningekuwa mimi ndiyo mwekezaji, ningempa faster huyu Injinia mkataba hata wa miaka miwili tu kwenye timu yangu.

Maana angecheza mechi 24! Naamini angefunga goli zisizopungua 20! Halafu huyo mchezaji mwenye goli 1 katika mechi 24, ningempeleka Geita Gold kwa mkopo.
 
Mudi anazingua
 
Aise yule kocha hajakosea hawa mashabiki ya uto ni mambwa yanabwekabweka sasa nini hiki umepost.hebu toa takataka yako.
 
Back
Top Bottom