Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kuku wa dawa
Mudi anazinguaKihasibu ningekuwa mimi ndiyo mwekezaji, ningempa faster huyu Injinia mkataba hata wa miaka miwili tu kwenye timu yangu.
Maana angecheza mechi 24! Naamini angefunga goli zisizopungua 20! Halafu huyo mchezaji mwenye goli 1 katika mechi 24, ningempeleka Geita Gold kwa mkopo.
🤣🤣🤣nikiwaza tumemuongezea mkataba nalia zaidi.Takwimu zinatia uchungu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga mnacheza sana na akili zetu mtakavyo.Na pesa nyingi kazikomba