Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

KUADI WA MABINTI WA BONGO MOVIE!View attachment 621171Usiombe uwe mfupi wa mwili na akili
mdudu alimpata mwanzoni kabisa! angejikubali akawa anatumia madawa angekuwa poa tu!!hivi hawa ze comedy mwenzao vengu hua anaumwa nini?
Steve mse..ng..eSiku za hivi karibuni msanii Joti aliweka mtandaoni picha akiwa na binti yake. Watu wengi walidhani huyo binti ni mtoto wa joti na mkewe ila mchekeshaji steve nyerere kwa kukurupuka kaandika mtandaoni maneno yaliyomuibua mama mzazi wa mtoto wa joti. Maneno ya steve yanaashiria kuwa mama mtoto hajui malezi bora kwa mwanae ndio maana joti hakumuoa
Post ya steve
View attachment 620763
Post ya povu la mama mtoto
View attachment 620764
Nilidhani ni mimi pekeangu mwenye mawazo kama hayaIla mama mzazi wa mtoto anaonekana cute sana eeh kuliko mke ....