Kiherehere champonza Steve Nyerere, ashushuliwa na mzazi mwenzake na Joti

Usiombe uwe mfupi wa mwili na akili
 

Mwanamama aliyezaa na msanii wa vichekeshomaarufu kama Merisa Bushoke amemtolea povu Steve Nyerere baada ya kumpongeza Joti kwa kufanikisha kufunga ndoa .

Kupitia ukrasa wake wa instagram steve Nyerere alianza kwa kuandika hivi

"Hii ni familia mpya ndugu yangu Joti ' hakuangalia ule usemi mama wa kambo si mtu mzuri ameangalia mapenzi na utu wa anayemuoa kwa watoto wake na familia yake si wamama wakambo wote wana roho mbaya apana, bali mazingira ya hiyo roho inawekwa na wewe baba kama huna misimamo ya familia yako kwa mwanamke mwenyewe mwenye kukupenda wewe atapenda na watoto wako na familia yako. Joti jana ulilia ukumbini nikajiuliza kwanini ulilia nikapewa jibu mtoto wako amepata mtoto bora huo nao ni ujasiri sana kuhakikisha mama huyo mnayeingia naye mkataba wa kidini anakuwa mama bora, tumekuwa watu wa kukalili unayezaa naye ndio mama bora kumbe si kweli Joti umetengua kauli Joti wewe ni shujaaaa,,,,," aliandika steve Nyerere

Baada ya posti hiyo ya Steve nyerere mwanamama huyo naye akajibu kupitia ukrasa wake wa Instagram ameandika hivi na kumtagi Steve Nyerere

"Naitaji kusema hivi huyu mtoto wangu na mm ndo niliemzaa haata mama awe chizi, tahila, mjinga ndo mama ake na hatokuja kutokea yoyote ukafananisha upendo wake na mama yake kwa hiyo sitaki maneno na mtu yeyote kama unataka kupongeza kitu kizuri kilichoanyika tumia maneno yasiyomuhusu mwanangu nadhani umenielewa na maana yako nini kuongea ulichoongea sijapenda wewe ni mkubwaa jielewe ufupi usikufanye ukajiona bado mdogo @stevenyerere2 @stevenyerere2"


Muungwana
 
Muhaya amemwaga povu baada ya kupigwa chini. Mkome kutegesha mimba.
 
dona ungekuwa unapita kwanza jukwaani kujiridhisha kabla ya kuanzisha thread.....hili tayari lina thread humu tangu jana.
 
jamaa hajui kutofauitisha R na L, .........mfano "kukalili" ,apana, alafu eti ni msaani anatunga na movies kabisa?? hizo movies ngoja waendelee kuangalia mabeki tatu. Mara jini anabisha hodi, mara jambazi anavua viatu ni shida
 
Kwa akili hizo alizonazo jamaa ndo alitaka kuwa mbunge wa Kinondoni
 
Huyu mwanamke alimcheat Joti kipindi wanaishi Gongo la Mboto Joti akampiga chini ndo mana kwa hasira kafanya sherehe ya nguvu ya live coverage kwenye Tv
 
Haka ka kibushuti nako katafutiwe mume tu wa kukaziba mdomo.
 
Steve mse..ng..e
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…