ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
1;Aliesoma mpaka elimu ya juu na kufeli vibaya katika masomo yake... au 2; alieishia elimu ya chini na kujifanya kasoma mpaka elimu ya juu kumbe sio kafoji vyeti, ama 3;alieruka vidato na kufanya mtihani ya elimu ya juu Akafauli kwa kiasi cha kumzidi wa Kwanza na wa pili?? Tujadiliane tuu....