Kihongosi acha unafiki usiitumie UVCCM kunyamazisha wabunge, umeshindwa kusaidia vijana

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
196
Reaction score
346
Kenan KIHONGOSI ameshindwa kuwatetea vijana katika kipindi chake chote cha uongozi akiwa Katibu Mkuu wa Vijana, leo vijana na Tanzania wanahangaika kutafuta ajira na ajira zilizopo zinachukuliwa na wageni yeye hajawahi kuitisha Press kupinga dhuluma wanazofanyiwa vijana wa nchi hii.

Bunge tumeona wabunge wakijadili Taarifa za CAG na mPANGO WA mAENDELEO na kuonyesha namna vijana walivyodhulumiwa kwa kukosekana kwa umeme biashara zao kuathirika na kupoteza ajira zao hilo halikumuua Kihongosi, Bunge limetoa azimio la wote waliohusika kuingia mkataba wa Symbion uliosababisha Serikali kulipa BILIONI 350 fedha hizo zingesaidia maendeleo ya vijana hilo halikuumua na UVCCM haikuona umuhimu wa kutoa tamko la kuunga mkono hoja hiyo.

Maji yanakatika wananchi wanalia kila kona Kihongosi halikumuua hilo akaa kimya, TANESCO wameingia mkataba na Kampuni ya India na kuwanyima fursa za ajira vijana wa tANzania hilo halikumuua,

Leo Mbunge wa kuteuliwa Bashiru ALLY anatumia nafasi yake ya ubunge kuzungumza matatizo ya wakulima namna yanavyoathiri ustawi wa vijana yeye anajitokeza hadharani na kumuita Dk Bashiru mchochezi.

Kihongosi ameipasua UVCCM na sasa anatembea na mgombea wake mfukoni akimpigia chapuo ndio achaguliwe Mwenyekiti wa Vijana Taifa na Makamu Mwenyekiti wa Vijana huku akijua fika kuwa wagombea hao Vijana wanawafahamu na wanajua nani anafaa lakini yeye anatembea na kumpigia chapua wagombea wake.

UVCCM ya sasa imepoteza mvuto na haijulikani inasimamia ajenda gani UVCCM iliishia kwenye uongozi wa Emmanuel NCHIMBI na MARTINE SHIGELA hiyo ndio ilikuwa UVCCM inayoogopwa na Serikali kwa wakati huo ilikuwa moto kweli kujenga hoja za msingi na kupigania haki za wananchi.

Kihongosi jipime
 
Acha urongo
CCM na UVCCM hawajawahi hata Mara Moja kuwa Upande wa wananchi
 
Leo Mbunge wa kuteuliwa Bashiru ALLY anatumia nafasi yake ya ubunge kuzungumza matatizo ya wakulima namna yanavyoathiri ustawi wa vijana yeye anajitokeza hadharani na kumuita Dk Bashiru mchochezi.
Itafutwe namna ya kupruni mindset za kijinga kama huyo Kikohozi
 
Back
Top Bottom