carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Hata polisi?Mi nasubiri comments tu
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, amewawashia ‘taa nyekundu’ watumishi wa umma wanaojiona wako juu ya chama hicho tawala, akisema hakitasita kuchukua hatua dhidi yao.
Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Oktoba 18, 2026, akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani, akisisitiza kuwa nidhamu na uwajibikaji ni muhimu katika utekelezaji wa majukumu ya Serikali.
Amesema CCM ndiyo iliyounda Serikali iliyopo madarakani, hivyo hakuna mtumishi wa umma anayepaswa kujiona mkubwa kuliko chama hicho: “Ndio chama kilichounda Serikali. Maana yake Serikali iliyoko madarakani imewekwa na Chama cha Mapinduzi, kwa hiyo asitokee mtumishi yeyote wa umma akajiona yuko mkubwa kuliko chama. Chama hakitavumilia hilo jambo.”
Kauli hiyo imekuja baada ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlawa, kudai baadhi ya watendaji wa vijiji hawataki kuwajibika kwa chama hicho.
Akijibu hoja hiyo, Kihongosi amesema chama kitashughulikia watumishi wazembe na kusisitiza kuwa kitakagua miradi ya maendeleo kuhakikisha inatekelezwa kwa viwango vinavyotakiwa, bila rushwa wala ucheleweshaji usio wa lazima.
Amesema viongozi wa Serikali kuanzia ngazi za mikoa na wilaya wanapaswa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kuhakikisha wananchi wanapata huduma na miradi inakamilika kwa wakati.
Chanzo :Mwananchi official
Kama taifa tunaposhindwa kutofautisha taaluma na siasa Bado tutasumbuka sana, unaposema watendaji wa serikali wasimamiwe na viongozi wa chama sababu tu chama ndicho kimepewa madaraka ipo siku watakwenda hosptali na kutaka kuwasimami madaktari matokeo yake daktari atasusa sababu anayetaka kumsimamia Hana taaluma hiyo na hivyo kukusa ule moyo wa kiutendaji kwa mujibu wa kiapo chake, na hii sio kwa madaktari tu ni kwenye taaluma zote, Kila mmoja anatakiwa awajibike kwenye eneo lake kwa taratibu, kiapo na miiko yake ya kazi, Moja ya athari ya kuchanganya taaluma na siasa inaonekana vizuri kwenye jeshi la polisi ambao wanalalamikiwa sana kwa kukiuka misingi na viapo vyao vya kazi na kufuata maelekezo ya wanasiasa, hebu tujiulize Leo muenezi anampa maelekezo waziri, mlezi wa mkoa anampa maelekezo waziri, viongozi wa chama mikoani nao wanatoa maelekezo, waziri mkuu atatoa maelekezo raisi atatoa maelekezo Sasa afuate maelekezo ya na nani na aache ya nani, Kuna methali Moja inayosema Miluzi mingi humpoteza Mbwa, tunachotakiwa kutambua maelekezo mengi kwa watu tofauti humfanya anayeelekezwa asijue la kufanya akishtuka miaka mitano imekwisha unarudi kuomba Tena ridhaa kwa mambo yaliyohitaji kufanyika kwa muda mfupi. Ni vizuri watendaji waheshimu Kila nafasi ya mwenzie na akikosea awajibishwe kwa makosa yake.Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, amewawashia ‘taa nyekundu’ watumishi wa umma wanaojiona wako juu ya chama hicho tawala, akisema hakitasita kuchukua hatua dhidi yao.
Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Oktoba 18, 2026, akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani, akisisitiza kuwa nidhamu na uwajibikaji ni muhimu katika utekelezaji wa majukumu ya Serikali.
Amesema CCM ndiyo iliyounda Serikali iliyopo madarakani, hivyo hakuna mtumishi wa umma anayepaswa kujiona mkubwa kuliko chama hicho: “Ndio chama kilichounda Serikali. Maana yake Serikali iliyoko madarakani imewekwa na Chama cha Mapinduzi, kwa hiyo asitokee mtumishi yeyote wa umma akajiona yuko mkubwa kuliko chama. Chama hakitavumilia hilo jambo.”
Kauli hiyo imekuja baada ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlawa, kudai baadhi ya watendaji wa vijiji hawataki kuwajibika kwa chama hicho.
Akijibu hoja hiyo, Kihongosi amesema chama kitashughulikia watumishi wazembe na kusisitiza kuwa kitakagua miradi ya maendeleo kuhakikisha inatekelezwa kwa viwango vinavyotakiwa, bila rushwa wala ucheleweshaji usio wa lazima.
Amesema viongozi wa Serikali kuanzia ngazi za mikoa na wilaya wanapaswa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kuhakikisha wananchi wanapata huduma na miradi inakamilika kwa wakati.
Chanzo :Mwananchi official
Isipokuwa mwenyekitiKatibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, amewawashia ‘taa nyekundu’ watumishi wa umma wanaojiona wako juu ya chama hicho tawala, akisema hakitasita kuchukua hatua dhidi yao.
Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Oktoba 18, 2026, akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani, akisisitiza kuwa nidhamu na uwajibikaji ni muhimu katika utekelezaji wa majukumu ya Serikali.
Amesema CCM ndiyo iliyounda Serikali iliyopo madarakani, hivyo hakuna mtumishi wa umma anayepaswa kujiona mkubwa kuliko chama hicho: “Ndio chama kilichounda Serikali. Maana yake Serikali iliyoko madarakani imewekwa na Chama cha Mapinduzi, kwa hiyo asitokee mtumishi yeyote wa umma akajiona yuko mkubwa kuliko chama. Chama hakitavumilia hilo jambo.”
Kauli hiyo imekuja baada ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlawa, kudai baadhi ya watendaji wa vijiji hawataki kuwajibika kwa chama hicho.
Akijibu hoja hiyo, Kihongosi amesema chama kitashughulikia watumishi wazembe na kusisitiza kuwa kitakagua miradi ya maendeleo kuhakikisha inatekelezwa kwa viwango vinavyotakiwa, bila rushwa wala ucheleweshaji usio wa lazima.
Amesema viongozi wa Serikali kuanzia ngazi za mikoa na wilaya wanapaswa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kuhakikisha wananchi wanapata huduma na miradi inakamilika kwa wakati.
Chanzo :Mwananchi official
Sio kweli, wanaotakiwa kupewa maelekezo na chama ni viongozi wanne tu, mwenyekiti wa mtaa/Kijiji/kitongoji, diwani, mbunge na raisi, ambao walipita maeneo mbalimbali kuomba ajira kwa mabosi wao ambao ni wananchi, kwa mujibu wa katiba.Simply, Watumishi wote wanatakiwa kutekeleza Sera za CCM. Ndio chama kinachoongoza serikali
Sio polisi tuuu majeshi yoteHata polisi?