PostGE2025 Kihongosi: CCM haijawahi kukosea, Hakuna aliye Mkubwa kuliko Chama

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Kenani Kihongosi amesema Chama hicho hakijawahi kukosea na kwamba maamuzi yote yanayofanywa ndani ya Chama yanapaswa kuheshimiwa na Wanachama pamoja na Viongozi wake.

kihongosi amesema hayo leo Mei 14, 2026 Mkoani Mara katika Wilaya ya Musoma wakati akizungumza na Wanachama na Viongozi wa chama hicho, ambapo ameongeza kuwa heshima waliyonayo Viongozi ndani ya Chama hicho imetokana na CCM, hivyo hakuna anayepaswa kujiona kuwa mkubwa kuliko Chama kwani kufanya hivyo ni kujidanganya.

“Kwanza ni Chama, Watu baadaye, haya maneno nayaongea mimi kama Mwenezi wa Chama, tofauti na hapo wewe unataka kukiharibia Chama,” amesema Kihongosi.

Aidha, amewaomba Viongozi wa CCM kuendelea kusimamia umoja na nidhamu ndani ya Chama huku akisisitiza kuwa Chama kina uwezo wa kumshughulikia Mtu yeyote atakayekiuka misingi yake bila kuangalia cheo, umri wala umaarufu wake.

k

Hawa wanaokosea
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Kenani Kihongosi amesema Chama hicho hakijawahi kukosea na kwamba maamuzi yote yanayofanywa ndani ya Chama yanapaswa k

Aidha, amewaomba Viongozi wa CCM kuendelea kusimamia umoja na nidhamu ndani ya Chama huku akisisitiza kuwa Chama kina uwezo wa kumshughulikia Mtu yeyote atakayekiuka misingi yake bila kuangalia cheo, umri wala umaarufu wake.

sasa wanatokea chama gani?
 
Wanasiasa bana 😁😁😁
Ni watu wa kupindisha pindisha mambo sana
 
Chama kwanza, watu ni takataka siyo. Wana CCM wakipiga kula wanakuwa hawana maana baada ya hapo.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Kenani Kihongosi amesema Chama hicho hakijawahi kukosea na kwamba maamuzi yote yanayofanywa ndani ya Chama yanapaswa kuheshimiwa na Wanachama pamoja na Viongozi wake.

kihongosi amesema hayo leo Mei 14, 2026 Mkoani Mara katika Wilaya ya Musoma wakati akizungumza na Wanachama na Viongozi wa chama hicho, ambapo ameongeza kuwa heshima waliyonayo Viongozi ndani ya Chama hicho imetokana na CCM, hivyo hakuna anayepaswa kujiona kuwa mkubwa kuliko Chama kwani kufanya hivyo ni kujidanganya.

“Kwanza ni Chama, Watu baadaye, haya maneno nayaongea mimi kama Mwenezi wa Chama, tofauti na hapo wewe unataka kukiharibia Chama,” amesema Kihongosi.

Aidha, amewaomba Viongozi wa CCM kuendelea kusimamia umoja na nidhamu ndani ya Chama huku akisisitiza kuwa Chama kina uwezo wa kumshughulikia Mtu yeyote atakayekiuka misingi yake bila kuangalia cheo, umri wala umaarufu wake.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Kenani Kihongosi amesema Chama hicho hakijawahi kukosea na kwamba maamuzi yote yanayofanywa ndani ya Chama yanapaswa kuheshimiwa na Wanachama pamoja na Viongozi wake.

kihongosi amesema hayo leo Mei 14, 2026 Mkoani Mara katika Wilaya ya Musoma wakati akizungumza na Wanachama na Viongozi wa chama hicho, ambapo ameongeza kuwa heshima waliyonayo Viongozi ndani ya Chama hicho imetokana na CCM, hivyo hakuna anayepaswa kujiona kuwa mkubwa kuliko Chama kwani kufanya hivyo ni kujidanganya.

“Kwanza ni Chama, Watu baadaye, haya maneno nayaongea mimi kama Mwenezi wa Chama, tofauti na hapo wewe unataka kukiharibia Chama,” amesema Kihongosi.

Aidha, amewaomba Viongozi wa CCM kuendelea kusimamia umoja na nidhamu ndani ya Chama huku akisisitiza kuwa Chama kina uwezo wa kumshughulikia Mtu yeyote atakayekiuka misingi yake bila kuangalia cheo, umri wala umaarufu wake.

Wauaji,watekaji,mafisadi,wasajili wavyama,watoahaki na wasimamia amani na walinda mali za watanzania ni wakubwa kuliko ccm ndiyo maana ccm imetiwa mifukoni mwao!
 
Back
Top Bottom