Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenye video ya Mzee Mohamed Saeed jamani.ipo tayari kushindana kupitia sanduku la kura
Yes,Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, ametoa msimamo mkali dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani, akisisitiza kuwa CCM haitishwi, haitaondoka madarakani kwa matamanio au maneno ya kisiasa, na ipo tayari kushindana kupitia sanduku la kura kulingana na kazi kubwa za maendeleo zilizofanyika.
Kihongosi ameyasema hayo leo, Jumamosi Oktoba 17, 2026, wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani
"Leo ninadhibitisha hapa chama hiki hakitatoka madarakani. Kazi iliyofanyika ni kubwa kitaendelea kuongoza taifa hili. Chagua maendeleo sio maneno, na nchi yetu ina mifumo ya kidemokrasia, twende kwenye sanduku la kura tukapigiane kura watu waamue. Sio kusema CCM iondoke madarakani. Hiyo biashara haipo." Amesema Kihongosi.
Kihongosi amewasihi Watanzania kulinda amani na ardhi yao, akibainisha kuwa hakuna mgeni au mzungu kutoka duniani atakayeipenda na kuilinda Tanzania kuliko Watanzania wenyewe.
“Hiki chama hakitishwi... Tuna mambo mengi ya kusimamia ndani ya nchi hii: maendeleo ya vijana wetu, maendeleo ya kina mama, maendeleo ya wazee. Tunawaza kujenga hospitali, kuboresha huduma za afya, miundombinu ya barabara na reli, tunawaza uchumi upande. Kuna mtu anawaza kuchoma, haitawezekana na haitakubalika”, ameeleza.
Yetu macho
Utabiri w Sheikh Yahya unakaribia kutimia soon
Rais ajaye atatokea upinzani ila sijajua bado atakuwa Lissu au Heche
Nchimbi yuko wspi mh. Kihongosi?Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, ametoa msimamo mkali dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani, akisisitiza kuwa CCM haitishwi, haitaondoka madarakani kwa matamanio au maneno ya kisiasa, na ipo tayari kushindana kupitia sanduku la kura kulingana na kazi kubwa za maendeleo zilizofanyika.
Kihongosi ameyasema hayo leo, Jumamosi Oktoba 17, 2026, wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani
"Leo ninadhibitisha hapa chama hiki hakitatoka madarakani. Kazi iliyofanyika ni kubwa kitaendelea kuongoza taifa hili. Chagua maendeleo sio maneno, na nchi yetu ina mifumo ya kidemokrasia, twende kwenye sanduku la kura tukapigiane kura watu waamue. Sio kusema CCM iondoke madarakani. Hiyo biashara haipo." Amesema Kihongosi.
Kihongosi amewasihi Watanzania kulinda amani na ardhi yao, akibainisha kuwa hakuna mgeni au mzungu kutoka duniani atakayeipenda na kuilinda Tanzania kuliko Watanzania wenyewe.
“Hiki chama hakitishwi... Tuna mambo mengi ya kusimamia ndani ya nchi hii: maendeleo ya vijana wetu, maendeleo ya kina mama, maendeleo ya wazee. Tunawaza kujenga hospitali, kuboresha huduma za afya, miundombinu ya barabara na reli, tunawaza uchumi upande. Kuna mtu anawaza kuchoma, haitawezekana na haitakubalika”, ameeleza.
"CCM iko tayari kushindana kwenye sanduku la kura" ? So, kwa maana nyingine ni kuwa anakubali kuwa CCM haijawahi kukubali kushindana kwenye sanduku la kura hapo awali! Interesting!Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, ametoa msimamo mkali dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani, akisisitiza kuwa CCM haitishwi, haitaondoka madarakani kwa matamanio au maneno ya kisiasa, na ipo tayari kushindana kupitia sanduku la kura kulingana na kazi kubwa za maendeleo zilizofanyika.
Kihongosi ameyasema hayo leo, Jumamosi Oktoba 17, 2026, wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani
"Leo ninadhibitisha hapa chama hiki hakitatoka madarakani. Kazi iliyofanyika ni kubwa kitaendelea kuongoza taifa hili. Chagua maendeleo sio maneno, na nchi yetu ina mifumo ya kidemokrasia, twende kwenye sanduku la kura tukapigiane kura watu waamue. Sio kusema CCM iondoke madarakani. Hiyo biashara haipo." Amesema Kihongosi.
Kihongosi amewasihi Watanzania kulinda amani na ardhi yao, akibainisha kuwa hakuna mgeni au mzungu kutoka duniani atakayeipenda na kuilinda Tanzania kuliko Watanzania wenyewe.
“Hiki chama hakitishwi... Tuna mambo mengi ya kusimamia ndani ya nchi hii: maendeleo ya vijana wetu, maendeleo ya kina mama, maendeleo ya wazee. Tunawaza kujenga hospitali, kuboresha huduma za afya, miundombinu ya barabara na reli, tunawaza uchumi upande. Kuna mtu anawaza kuchoma, haitawezekana na haitakubalika”, ameeleza.
HakikaKwisha habari yao..Huo Ni Mkutano Organised kuanza kujitutumua na Mfumo Ni uleule wa kukusanya watu Kimkakati na Kuwajaza sehemu.
Hapo hajapangua Hoja yoyote ya Heche nje ya Kuwajaza hofu na kujiamini hewa hawao Wazee.na kuwapotosha eti CHADEMA inataka CCM waondoke Madarakani..mbona wako Sawa kabisa!Kosa gani hapo Kidemokrasia na Kisiasa.
Ni Lengo Kuu tena Kikatiba kwa Chama chochote cha Siasa hata Chaumma.
We Mjinga, Vikwazo vya Jumuiya ya Madola (COMMONWEALTH) kwa Tanzania Vimeanza Rasmi - NGOs Zapigwa Stop kuomba Miradi; https://www.jamiiforums.com/threads...gwa-stop-kuomba-miradi.2483999/#post-57064924Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, ametoa msimamo mkali dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani, akisisitiza kuwa CCM haitishwi, haitaondoka madarakani kwa matamanio au maneno ya kisiasa, na ipo tayari kushindana kupitia sanduku la kura kulingana na kazi kubwa za maendeleo zilizofanyika.
Kihongosi ameyasema hayo leo, Jumamosi Oktoba 17, 2026, wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani
"Leo ninadhibitisha hapa chama hiki hakitatoka madarakani. Kazi iliyofanyika ni kubwa kitaendelea kuongoza taifa hili. Chagua maendeleo sio maneno, na nchi yetu ina mifumo ya kidemokrasia, twende kwenye sanduku la kura tukapigiane kura watu waamue. Sio kusema CCM iondoke madarakani. Hiyo biashara haipo." Amesema Kihongosi.
Kihongosi amewasihi Watanzania kulinda amani na ardhi yao, akibainisha kuwa hakuna mgeni au mzungu kutoka duniani atakayeipenda na kuilinda Tanzania kuliko Watanzania wenyewe.
“Hiki chama hakitishwi... Tuna mambo mengi ya kusimamia ndani ya nchi hii: maendeleo ya vijana wetu, maendeleo ya kina mama, maendeleo ya wazee. Tunawaza kujenga hospitali, kuboresha huduma za afya, miundombinu ya barabara na reli, tunawaza uchumi upande. Kuna mtu anawaza kuchoma, haitawezekana na haitakubalika”, ameeleza.
Muache kutumia walimu kuiba kura.Pangueni Hoja Zao Dhidi Yenu Sasa.Na Kama Kweli Mko tayari kushindana kwenye Sanduku la Kura..wekeni Mazingira Sawa mechi ichezwe..Heche analilia hicho tu...Pia..
CHADEMA hawana Shida na Kushindwa kwa Haki.
Lugha ya Uwasilishaji wa ujumbe wa CHADEMA kwa Wananchi Ni moja ya Mkakati wa Kisiasa ajabu nyie mnaanza kuwa criminalise kauli zao.Mnataka watumie Lugha mnayoitaka nyie..Haiko hivyo ...hao Ni wapinzani wenu komaeni Kisiasa.
Naona sindano imeanza kuwaingia Kwa kauli hii.Karibuni tupambane sasa.
Wewe Heche Wewe Ni balaaa na Ni Jana tu nilipost JF hapa kwamba hii tufani inayoendelea ikienda miezi 6 Sipati Picha CCM itakuwaje.