Kihongosi: CCM ni chama kinachozingatia utu wa watanzania, hakitikiswi na hakitayumba

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
"Chama hiki ni chama cha watanzania wote, hiki ndo chama pekee kisicho na ubaguzi, hiki ndo chama pekee kinachojali vyama vyote, hiki ndo chama pekee kinachojali utu wa watanzania, chama cha mapinduzi kwa lugha nyepesi tunaita hii ni full package imejaa na imetimia, hiki ndo chama imara. Jambo lingine chama hiki hakitingishiki, hakitikiswi, hakitayumba katika msimamo wa kupeleka maendeleo kwa watu wake"-

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano uliofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026.

Your browser is not able to display this video.
 
Faki zati sonofabitch!
 
Hawana ubaguzi ki vp wakati huwa wanabagua wapinzani ambao wamechaguliwa katika nafasi za ukuu wa wilaya kisa sio ccm.
 
Hivi kuna mtu ana mashaka kuwa huyu Kihongsi ni mwendawazimu?

Yawezekana vipi unateka na kuua, unaua watu maelfu, halfu unaunaropoka kuwa unaheshimu utu! Unaheshimu utu wao kwa kuwaua?
 
Mfa maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…