Kihongosi: Chaguzi zote tumewachapa, hata 2030 tutawachapa, sisi sio chama cha matukio

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Chaguzi zote tumewachapa, hata 2030 tutawachapa, sisi sio chama cha matukio

Kihongosi akizungumza na wanahabari leo 13 Juni, 2026 amesema kuwa Wakati wa kuanzishwa vyama vingi Mwalimu Nyerere alisema waingie kwenye vyama vingi licha ya wanaCCM wengi kukataa ila tangu hapo CCM inashika madaraka kwa kuwa wananchi wanakielewa na kuelewa sera zake na maendeleo yote yaliyopo Tz yamefanywa na chama hicho na bado wataendelea kushika hata chaguzi zijazo.

Anasema kuwa "...'95 tunawachapa, 2000 tunawachapa, 2005 tumewachapa, na '10 tumewachapa, '15 tumewachapa, '20 tumewachapa, 30 tutawachapa, 40 tutawachapa, na tuna uwezo wa kufanya kazi na ikaleta matokeo. Kwa hiyo hilo nilipenda nimtaarifu ndugu yangu kwamba Chama cha Mapinduzi ni chama taasisi.

Lakini jambo lingine, mifumo yetu ya kiuongozi kuanzia shina inatusaidia kupeleka taarifa kwa wakati. Kwamba taarifa ikitoka taifani inashuka mkoani, inashuka wilayani, inashuka katani, inashuka tawini na inaenda kwenye shina. Nani mwenye kundi la chama? Kwa sababu ya leadership, kwa hiyo mnaweza mkaona waandishi wa habari kuna connection nzuri ambayo iko hapo.

Lakini jambo lingine, sisi sio chama cha matukio. Sisi ni chama cha kazi muda wote. Hatuburuzwi na ajenda za matukio. Wakati ule rais wa Venezuela amekamatwa, ilikuwa ndio ajenda ya CHADEMA. Vita ya Iran ilipoanza, ndio ajenda ya CHADEMA. Imetokea sijui kuna gari huko likipata pancha, wanabeba hiyo ndio ajenda yao. Sasa huelewi wana dira ipi, wana sera zipi. Hujui yaani ni kwamba hawa wanataka nini.

Mimi nawaambia leo, na nyinyi ni mashahidi; hata hichi ninachokiongea leo, hiki kitakuwa ni ajenda yao. Kwa sababu hawana ajenda. Kama naongea uongo, mtaniambia. Labda waone aibu sasa kuniandika kwa kuwa nimesema hivi. Lakini utaona wote pale wameanza kunitukana. Na mimi napenda kutukanwa kwa sababu unapotukana Chifu, maana yake unajitafutia laana tu. Kwa hiyo, wala hilo halinisumbui. Lakini jambo lingine ninalopenda kulisema ni..."
 
Baada ya kuwafungia na kuwafanyia kila aina ya rafu halaf anakuja kujisifia!?

Waweke equal enviroment
 
Kihongosi Bado upo gizani ,hivi unadhani sisi wa tz Bado ni wajinga kama zamani?...Unaropoka tu.
 
Huyu nae ana mimba ya CHADEMA inamsumbua , badala ya kueleza hizo sera anazojinasibu anazo ameushia kuitaja taja CHADEMA tu
 
Chaguzi zote tumewachapa, hata 2030 tutawachapa, sisi sio chama cha matukio

Kihongosi akizungumza na wanahabari leo 13 Juni, 2026 amesema kuwa Wakati wa kuanzishwa vyama vingi Mwalimu Nyerere alisema waingie kwenye vyama vingi licha ya wanaCCM wengi kukataa ila tangu hapo CCM inashika madaraka kwa kuwa wananchi wanakielewa na kuelewa sera zake na maendeleo yote yaliyopo Tz yamefanywa na chama hicho na bado wataendelea kushika hata chaguzi zijazo.

Anasema kuwa "...'95 tunawachapa, 2000 tunawachapa, 2005 tumewachapa, na '10 tumewachapa, '15 tumewachapa, '20 tumewachapa, 30 tutawachapa, 40 tutawachapa, na tuna uwezo wa kufanya kazi na ikaleta matokeo. Kwa hiyo hilo nilipenda nimtaarifu ndugu yangu kwamba Chama cha Mapinduzi ni chama taasisi.

Lakini jambo lingine, mifumo yetu ya kiuongozi kuanzia shina inatusaidia kupeleka taarifa kwa wakati. Kwamba taarifa ikitoka taifani inashuka mkoani, inashuka wilayani, inashuka katani, inashuka tawini na inaenda kwenye shina. Nani mwenye kundi la chama? Kwa sababu ya leadership, kwa hiyo mnaweza mkaona waandishi wa habari kuna connection nzuri ambayo iko hapo.

Lakini jambo lingine, sisi sio chama cha matukio. Sisi ni chama cha kazi muda wote. Hatuburuzwi na ajenda za matukio. Wakati ule rais wa Venezuela amekamatwa, ilikuwa ndio ajenda ya CHADEMA. Vita ya Iran ilipoanza, ndio ajenda ya CHADEMA. Imetokea sijui kuna gari huko likipata pancha, wanabeba hiyo ndio ajenda yao. Sasa huelewi wana dira ipi, wana sera zipi. Hujui yaani ni kwamba hawa wanataka nini.

Mimi nawaambia leo, na nyinyi ni mashahidi; hata hichi ninachokiongea leo, hiki kitakuwa ni ajenda yao. Kwa sababu hawana ajenda. Kama naongea uongo, mtaniambia. Labda waone aibu sasa kuniandika kwa kuwa nimesema hivi. Lakini utaona wote pale wameanza kunitukana. Na mimi napenda kutukanwa kwa sababu unapotukana Chifu, maana yake unajitafutia laana tu. Kwa hiyo, wala hilo halinisumbui. Lakini jambo lingine ninalopenda kulisema ni..."
Sasa kaongea nini huyu bwege?
Unaitisha press ndefu kuzungumzia chama unachoona ni dhaifu huku ukitegemea polisi na Mwambegele kupata ushindi feki.
Sifa yake kubwa ni kukimbiza mwenge tuu.
 
Rais kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa masaa 6 pekee na zikahesabiwa ndani ya masaa 72 maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu
Watu mnajua hesabu balaa.
 
Kwa uchaguzi gani unaofanyika hapa nchini? Atofautishe uchafuzi na uchaguzi, kinachoendelea hapa nchini ni uchafuzi na siyo uchaguzi, kama wanajiamini waruhusu tume huru ya uchaguzi waone jinsi watakavyoaibika kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom