Kihongosi: Heche alipotosha kusema CCM inaazima viongozi kutoka vyama vingine

Kihongosi: Heche alipotosha kusema CCM inaazima viongozi kutoka vyama vingine

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza na Wandishi wa habari leo Mei 4, 2026 Jijini Dodoma, amesema Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche alipotosha kwa kusema CCM wanaazima viongozi kutoka vyama vingine akimtajaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi kuwa ametoka CHADEMA

 
Back
Top Bottom