Kihongosi: Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mdahalo. Aje na Lema, Boniyai na Sugu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja

Soma pia:
Kihongosi akiwataja wengine John Mnyika, Boni yai , Godbless Lema na Sugu waungane na yeye awe pekee yake na atawajibu kwa hoja

​
 
Huyu mfano wa mdahalo wake ni pale alipowachapa watu wazima viboko bila kukutwa na hatia Arusha
Mdahalo wake mwingine ni kumtaka mkurugenzi wa jiji la Arusha kuchangia birthday party ya mke wake kutokana na mapato ya halmashauri
Kuna lile lingine la kutaka Zitto auwawe.
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja

Soma pia:
Kihongosi akiwataja wengine John Mnyika, Boni yai , Godbless Lema na Sugu waungane na yeye awe pekee yake na atawajibu kwa hoja

Tatizo la afya ya akili ni kubwa sana ndani ya uongozi wa CCM Taifa. Kwa yale yanayojili ndani ya chama hiki kuna kila sababu ya kuamini 70% hadi 85% ya uongozi wa chama hiki taifa kuna changamoto hii inawakabili.

Toka tukio la umwagaji mkubwa wa damu la October 29, 2025 na siku kadhaa mbele yake, tatizo limekuwa kubwa mpaka wale wenye akili wanaonekana ndiyo wenye changamoto hii. Rejea suala la hisia za viongozi hao kwa Mzee Warioba, Polepole, Gwajima, Simbachawene, na Nchimbi utapata majibu.
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja

Soma pia:
Kihongosi akiwataja wengine John Mnyika, Boni yai , Godbless Lema na Sugu waungane na yeye awe pekee yake na atawajibu kwa hoja

Mimi mwenyewe tuu namtoa knockout?
 
Huyu dereva bodaboda kumbe ni mjinga hivyo?Kwa uelewa gani aweze kukabiliana hoja kwa hoja na Heche? Watanganyika wanamuonea huruma sana.
 
Kihongosi ni m****u tu kama wenzake wote. Heche ni level ya juu sana kwao
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja

Soma pia:
Kihongosi akiwataja wengine John Mnyika, Boni yai , Godbless Lema na Sugu waungane na yeye awe pekee yake na atawajibu kwa hoja

Hivi huyu Kaka yupo Timamu kweli?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yawezekana kuna roho za uwendawazimu zinaambatana na hivi vyeo

Kitu pekee ambacho nina uhakika nacho Kenani anawazidi akina Heche, ni kirap hip-hop.
 
Back
Top Bottom