Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tatizo la afya ya akili ni kubwa sana ndani ya uongozi wa CCM Taifa. Kwa yale yanayojili ndani ya chama hiki kuna kila sababu ya kuamini 70% hadi 85% ya uongozi wa chama hiki taifa kuna changamoto hii inawakabili.Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja
Soma pia:
Kihongosi akiwataja wengine John Mnyika, Boni yai , Godbless Lema na Sugu waungane na yeye awe pekee yake na atawajibu kwa hoja
- Kihongosi: Heche, Lema, Sugu na Boniyai acheni kelele, njooni wote kwenye mdahalo mimi niwe peke yangu
- Heche: Kenani Kihongosi anaweza kufanya mdahalo na watoto wa shule ya Msingi na CHASO. Hawezi kujibu hoja
Mimi mwenyewe tuu namtoa knockout?Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja
Soma pia:
Kihongosi akiwataja wengine John Mnyika, Boni yai , Godbless Lema na Sugu waungane na yeye awe pekee yake na atawajibu kwa hoja
- Kihongosi: Heche, Lema, Sugu na Boniyai acheni kelele, njooni wote kwenye mdahalo mimi niwe peke yangu
- Heche: Kenani Kihongosi anaweza kufanya mdahalo na watoto wa shule ya Msingi na CHASO. Hawezi kujibu hoja
Huyu dereva bodaboda kumbe ni mjinga hivyo?Kwa uelewa gani aweze kukabiliana hoja kwa hoja na Heche? Watanganyika wanamuonea huruma sana.Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja
Soma pia:
Kihongosi akiwataja wengine John Mnyika, Boni yai , Godbless Lema na Sugu waungane na yeye awe pekee yake na atawajibu kwa hoja
- Kihongosi: Heche, Lema, Sugu na Boniyai acheni kelele, njooni wote kwenye mdahalo mimi niwe peke yangu
- Heche: Kenani Kihongosi anaweza kufanya mdahalo na watoto wa shule ya Msingi na CHASO. Hawezi kujibu hoja
Hivi huyu Kaka yupo Timamu kweli?πππππππππKatibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja