Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Awape picha zake akiwa anarembua au amekaa kwenye kigoda anakuna nazi wazitumie kuuzia karanga.Kuna watu wanatumia video za matukio ya Oktoba kama mtaji wa kisiasa
Huyu Kihongosi sasa akili alikoiweka anajua mwenyewe.Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanaatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa
Video ni mtaji wa kisiasa.Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa aliyepata madhara wakati wa vurugu za Oktoba 29, Walioshawishi wapo, waliohamasisha wapo na familia zao wamepeleka nje watoto wao wapo salama.
Akili zako huwa unazitumia vizuri sana isipokuwa huwa unakosea sana kulazimisha akili yako hiyo (ambayo uwezo wake unaishia kung'amua yanayoonekana tu) ichanganue mambo yasiyoonekana.Video ni mtaji wa kisiasa.
Na zikitumiwa kama mtaji wa kisiasa kusema CCM ni wauaji, ni kweli.
Mi mtaji ambao viongozi wa CCM wenyewe wamewapa wapinzani wao wa ndani na nje ya CCM.
Tatizo liko wapi?
Wapi nimelazimisha akili yangi ichanganue mambo yasiyoonekana?Akili zako huwa unazitumia vizuri sana isipokuwa huwa unakosea sana kulazimisha akili yako hiyo (ambayo uwezo wake unaishia kung'amua yanayoonekana tu) ichanganue mambo yasiyoonekana.
Nimeipenda comment yako hii(Your cognitive ability is sharp sharp (in Naija's ascent)
Kuna kiwango ya ujinga ya watu wa mbogmboga ambayo haipatikani sehemu nyingine yoyote dunianiKatibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa aliyepata madhara wakati wa vurugu za Oktoba 29, Walioshawishi wapo, waliohamasisha wapo na familia zao wamepeleka nje watoto wao wapo salama.
Wao CCM kwa kutumia media zao mbona walikuwa wanaonyesha picha za mauaji ya Rwanda kwenye uchaguzi wa 1995 walidhani Tanzania ni mbinguni hakuwezi kutokea mauaji.Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa aliyepata madhara wakati wa vurugu za Oktoba 29, Walioshawishi wapo, waliohamasisha wapo na familia zao wamepeleka nje watoto wao wapo salama.
Alivyo rembua sasa
Puuzi sana hili limtu, haya ndio yanaharibu nchi