tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Mpuuzeni huyu mpuuzi. Hajui alisemalo. Waliohamasisha kwa kauli za OKTOBA TUNATIKI wao watoto wapo wapi? Mbona wapo Kizimkazi wanakula bata kama kawaida. Mbuzi kasoro mkia!Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa aliyepata madhara wakati wa vurugu za Oktoba 29, Walioshawishi wapo, waliohamasisha wapo na familia zao wamepeleka nje watoto wao wapo salama.