Mpuuzeni huyu mpuuzi. Hajui alisemalo. Waliohamasisha kwa kauli za OKTOBA TUNATIKI wao watoto wapo wapi? Mbona wapo Kizimkazi wanakula bata kama kawaida. Mbuzi kasoro mkia!Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa aliyepata madhara wakati wa vurugu za Oktoba 29, Walioshawishi wapo, waliohamasisha wapo na familia zao wamepeleka nje watoto wao wapo salama.
Huyu pimbi anamlenga NyalanduKatibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa aliyepata madhara wakati wa vurugu za Oktoba 29, Walioshawishi wapo, waliohamasisha wapo na familia zao wamepeleka nje watoto wao wapo salama.
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa aliyepata madhara wakati wa vurugu za Oktoba 29, Walioshawishi wapo, waliohamasisha wapo na familia zao wamepeleka nje watoto wao wapo salama.
Kihongosi ni shoga.Kihongosi yupo sahihi saaaaana, na Kwa mara y kwanza tumepata msemaji wa chama imara kweli kwelii
Daah damu zimewakamata!Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa aliyepata madhara wakati wa vurugu za Oktoba 29, Walioshawishi wapo, waliohamasisha wapo na familia zao wamepeleka nje watoto wao wapo salama.
Hatari sana... Hawa nadhani usiku hawalali... Na hawakubali kubaki peke yao vyumbani.VIdeo za AI na picha za Gaza zinawapa shida .....!!?