MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Noted 📌Watanganyika endeleeni kupaza Sauti ya Utaifa ya Tanganyika.
Kadri Wazanzibari wanavyojibu ndio mpasuko ndani ya Jamii unaongezeka, sikiliza kwa makini huyu Sheikh anayozungumza alafu useme kwa nini kusiwepo na Serikali ya Tanganyika.
CCM mjibuni huyu Sheikh.
View attachment 3607267
Amekosea, sisi hatuna Tanganyika yetu rasmi, tunahitaji Tanganyika yetu na Watawala wetu Watanganyika tu, sasa hivi kuna Wakuu wa Wilaya bara Wazanzibar, Wizara ya Fedha kwa sehemu kubwa inasimamia mambo ya bara ila ajabu waziri wake ni Mzanzibar.Ukiondoa hiyo kauli yake ya kwanza kwamba chanzo cha hizi chokochoko ni uanamke, uislamu na uzanzibari wa Samia, mengine yupo sahihi aisee. Wabara tunalalamika ila kiukweli haya matatizo tuliyaumba wenyewe kupitia makubaliano ya ajabu tuliyoingia na Zanzibar.
"Nyerere baba mleziooo,Ukiondoa hiyo kauli yake ya kwanza kwamba chanzo cha hizi chokochoko ni uanamke, uislamu na uzanzibari wa Samia, mengine yupo sahihi aisee. Wabara tunalalamika ila kiukweli haya matatizo tuliyaumba wenyewe kupitia makubaliano ya ajabu tuliyoingia na Zanzibar.
Hivi Marijani Rajabu ndiye aliyeimba mtaa wa saba?"Nyerere baba mleziooo,
Nyerere mwanamapinduzioo,
Sisi sote twakupongeza babaaa,
Kwa kazi kubwa unazifanya babaa,
Tanzania sasa tunaheshima kubwaee,
Na sifa zetu zimeenea babaa duniani koteee...🎶", Marijani Rajabu na Dar International.
🤮🤮🤮🤮.
Al-mukheef.
Yule ni Mbaraka Mwinshehe.Hivi Marijani Rajabu ndiye aliyeimba mtaa wa saba?
Yeah nimekumbukaYule ni Mbaraka Mwinshehe.
Kama makubaliano ya muungano yana ruhusu haya basi hatuna mwingine wa kumlalamikia isipokua sisi wenyewe.Amekosea, sisi hatuna Tanganyika yetu rasmi, tunahitaji Tanganyika yetu na Watawala wetu Watanganyika tu, sasa hivi kuna Wakuu wa Wilaya bara Wazanzibar, Wizara ya Fedha kwa sehemu kubwa inasimamia mambo ya bara ila ajabu waziri wake ni Mzanzibar.
Tunapesema Nyerere alikosea sana kuiunganisha Tanganyika katika Zanzibar alikosea sana tunamaanisha.
Nyerere alikuwa mamluki wa qeen mwenye kununa na anuneWatanganyika hawaamini Nyerere anaweza kukosea.
Nyerere alituuza kwa bei ya jioni.
Haya, tumechinjwa barabarano kwa amri ya Mzanzibari.
Nyerere alisema muungano tukiuvunja tutachinjana Watanganyika.
Mbona ndani ya Muungano tumechinjwa majumbani kwa amri ya Mzanzibari ??????