GE2025 Kihongosi: Nchi haiongozwi kwa Jinsia, CCM imeleta Mgombea mwenye uwezo

GE2025 Kihongosi: Nchi haiongozwi kwa Jinsia, CCM imeleta Mgombea mwenye uwezo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Jijini Mwanza, Kenani Kihongosi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ameeleza kuwa suala la uongozi wa nchi haizingatii Jinsia bali kwa Maarifa, kanuni, katiba na miongozo

" nchi haiongozwi kwa Jinsia, nchi inaongozwa kwa Maarifa, kanuni, kwa katiba na Miongozo, huwezi ukasema mimi jinsia nakwenda kuiongoza nchi la hasha. Kwaiyo Chama cha Mapinduzi kimeleta full package, kimeleta Mgombea mwenye uwezo anayejua nini anakwenda kufanya" - Amesema Kenani Kihongosi



 
Nani alimwambia nchi inaendeshwa na jinsia?

Akae kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom