Kihongosi: Nimepokea ujumbe umoja wa ulaya imeiondolea Tanzania vikwazo leo


EU inawasiliana na watanzania kupitia Kihongosi ambaye hata Mzee Butibu hamfahamu jina wala wadhifa wake hapo CCM
 
Idara ya itikadi, propaganda na uenezi, imegeuka msemaji wa wizara ya mambo ya nje!

Watanzania wa leo sio wa mwaka 1997...huwezi kumdanganya mwananchi kupitia taarifa ambazo ana access ya kupata ukweli wake kwenye smartphone yake tu!
 
Waliouawa kubakwa nakupelekwa mochari wakiwa hai ni umoja wa ulaya? kweli ccm ni kiota cha wajinga
sisi watanzani ni kiota cha wajinga . sio CCM
Kila tunaloambiwa tunakubali.
Gwajima nafufuwa watu tunakubali na michango kutowa.
Yule mama kaenda mbiguni tunakubali na michango tunampa
Sijui fulani anponesha watu tunakubali na michango tunampa

Tundu lissu alisema Tanganyika inaitawala zanzibar baadae kabdilisha na kusema Zanzibar inaitawala Tanganyika Na mengineyo mengi tuu.
Tume kubali

Watanzania sisi ni kiota cha wajinga.
 
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu mjinga sijui walimuokota wapi hadi kuja kumpa hicho cheo cha mropokaji mkuu wa Chama.
 
Mwenezi anaye pwaya na kupuyanga tu kama Punga...hajui lolote kuhusu Siasa,Jukwaani hovyo na hata mvuto wa Kisiasa ni Ki- Mavi tupu.
IQ ni below standard ever.
 
Hili tahira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…