Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sonofabitch!!! Watoe maagizo kwa Serikali yao ya majambazi, sio kutuletea usanii sanii hapa!Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, kimeishauri Serikali kuangalia uwezekano wa kutoa ruzuku kwenye mafuta. Hatua hiyo inalenga kupunguza gharama za nishati hiyo nchini ili kumpunguzia mwananchi mzigo wa maisha
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, kimeishauri Serikali kuangalia uwezekano wa kutoa ruzuku kwenye mafuta. Hatua hiyo inalenga kupunguza gharama za nishati hiyo nchini ili kumpunguzia mwananchi mzigo wa maisha
Nina mashaka kama atadumu kwenye hiyo nafasi...π€Sasa si amwambie boss wake?
Anatusomea sisi for what π
Nina mashaka kama atadumu kwenye hiyo nafasi...π€