KUELEKEA UCHAGUZI KATIBU MKUU UVCCM, NDG KENANI KIHONGOSI
ASEMA NA VIJANA.*
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendele
=======
"Huu ni mwaka wa uchaguzi. Vijana jitokezeni kugombea nafasimbalimbalikatika chama na jumuiya zake. Jipime, ukiona unatosha naenda ukachukue fomu", amesema Kihongosi
View attachment 2167621